Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arteta nyumba aliyoanza kuijenga ilibakia finishing lkn anaibomoa tena mwenyewe kwa mikono yake.

merino bado hatakiwi kuingia kwenye XI kwa haraka namna hii ;partey ama jorginho ndio wanatakiwa ku partner na rice kwenye mid kwa ssa.
Naaam mim mwenyew kuna mtu nimetoka kumuambia mtu hiki kitu baada ya game, combo ya Rice na Merino, trousard haitakuna kulipa kamwe may be wacheze na mchezaji mwenye kariba ya kushambulia, mfano ode,Ethan,pemben yao ila hivi anapiga mbuzi gitaa
 
Huu msimu hata sioni tukiwa washindani. Tufanye maisha mengine
Tutarudi tukiwa Imara zaid, kinachotokea ni kawaida kwenye mpira wa miguu licha ya kocha kua na kiburi na uoga pia,

Kitatokea kilichotokea baada ya kipindi kile kupoteza gan na Aston villa last season alijilekebisha timu ikawa poa, naamin itakaa poa.
 
Shida siyo kua poa shida ni kutafuta kombe, haya makosa wapinzani wetu wanayafanya?
 
Brighton kamuongoza liva kipindi cha kwanza chote, unacheki mechi ni timu ambayo inataka kushinda.

Tumecheza na Liva wiki iliyopita tulikua shit, imagine na ni sisi ndiyo tunataka trophy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…