Ingia livesports 808Msaada App nzuri ya kuangalia live game za ulaya ,,,,
πππ hii jukwaa tutabaki wenyewe humu , tushampiga mchungaji kondoo wametawanyika.Flano Ally pipi
Hamis77 kumbe yupo bhana kaanzisha uzi, kahamia kwenye vita ya wayahudi na waarabu
Labyrinth 84
Tafuteni kipa wa kuelewekaπππ hii jukwaa tutabaki wenyewe humu , tushampiga mchungaji kondoo wametawanyika.
False hopes zinawasumbua sana vijana wa arsenal saivi wameamia kwenye red cards hope , et wanafungwa tu wakiwa na red card.
Zile phase sijui 3 or 4 zimeisha π zote .False hoper mkuu ameamua kukimbilia kwenye vita za israel na iran huku hapawezi
Pimbi mnawashwawashwa kweli mnatafuta mabwana humu enh!!!hatuna mpango na makalio yenu kenge nyieπππ hii jukwaa tutabaki wenyewe humu , tushampiga mchungaji kondoo wametawanyika.
False hopes zinawasumbua sana vijana wa arsenal saivi wameamia kwenye red cards hope , et wanafungwa tu wakiwa na red card.
Zile phase sijui 3 or 4 zimeisha π zote .False hoper mkuu ameamua kukimbilia kwenye vita za israel na iran huku hapawezi
We jamaa upo negative sanaUpdate
Tupo nafasi ya tano
Kwani tupo nafasi ya ngapi?We jamaa upo negative sana
Unaangalia mechi?πππ hii jukwaa tutabaki wenyewe humu , tushampiga mchungaji kondoo wametawanyika.
False hopes zinawasumbua sana vijana wa arsenal saivi wameamia kwenye red cards hope , et wanafungwa tu wakiwa na red card.
Zile phase sijui 3 or 4 zimeisha π zote .False hoper mkuu ameamua kukimbilia kwenye vita za israel na iran huku hapawezi
Kai as LCM and Trossard CF?
Nwaneri ni pure talent kama Yamal wa barca ila ni bahati mbaya sana Arteta haamini vijana.
Bado dk 14 π€π€π€