Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Flano Ally pipi
Hamis77 kumbe yupo bhana kaanzisha uzi, kahamia kwenye vita ya wayahudi na waarabu
Labyrinth 84
Masingeli hii timu ilishamtokea puani tayari, sasa hivi hataki kusikia habari zozote kuhusu Arsenyau, hata huko kwenye majukwaa mengine ukichomekea mambo ya Asaninyau ana logout.
Msimu ulioisha Arsenyo ilimuachia majeraha yasiyopona

Hili litimu jinsi lilivyomtenda, sasa hivi hana tofauti na wale wanaosema Wanaume wote ni mbwa tu

Hii ndio hali anayopitia Masingeli kwa sasa juu ya Arsenyani
 
Mwingine huyu wa livescore, kwa hiyo ww ukishaangalia livescore basii inatosha, halafu ukitoka hapo unakuja kutupgia kelele kumbe hujui kitu. Shuubamit
Kwani Chelsea ipo nafasi ya ngapi??tuanze na hilo kwanza,pili Msimu uliyopita Arsenal alikugonga Goli 5,sahihi si sahihi?
 
Unajiita wa kimataifa na hauna hata kombe moja la kitaifa, sijui unaelewa unachokiandika? au shibe imeshakulevya?
Ila leo una hasira mwanetu.

Sasa kwani Uefa nacheza na kenge au nyumbu? Si timu za nchi zingine? Sasa wewe ambacho huelewi kwamba hiyo tournament ni ya kimataifa na washiriki ni timu za kimataifa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…