Tulieni majirani Kila mtu atafungwa kwa wakati wake....tosin wa Chelsea kafanya faulo kama alofanya Saliba lakini kala yellow card ila Saliba kala umeme.....ni mambo kama haya ndo yanafanya watu waone kuna uonezi....jinsi tunqvyoqdhibiwa sisi na timu zingine iwe hvyohvyo sio sisi wafate sheria kwlikwli halafu kwa wengine wawe wanajiuliza mara mbilimbili