Yaani nyie sijui mnawazaga nini? Kwa hiyo mnahis wasipobeba ubingwa City basi mnabeba nyie. Bado mpo msimu uliopita. AmkeniOn paper tuna fixture ngumu ya games tatu zinazofuata kuliko city.
Hii ni kwa kuzingatia majeruhi pia kwa timu zote mbili.
View attachment 3124144
Odegaard bado.Kina nani tena arifu mbona naona kosi zima linarudi tukianza kazi na Bournemouth
HatutakiYaani nyie sijui mnawazaga nini? Kwa hiyo mnahis wasipobeba ubingwa City basi mnabeba nyie. Bado mpo msimu uliopita. Amkeni
Mtu anatakiwa aongee mpira. Mtu anapokosea akosolewe. Anapofanya vizuri asifiwe.Jamaa ni mtu mwenye negative energy usikomae nae kwa sababu haongei uhalisia badala yake analeta hisia.
Pia vijana ni wengi humu mkuu so wazoee tu.
Anarudi klabuni anakuwa slow tunaanza kwenda na vitheory vingine....maybe uchovu wa mechi alizocheza, labda bado hajarecover vizuri......angali national team anakiwasha vyedi tuMerino looks sharp sana today
Dah huyu mwamba tutakuja kupokonywa na wenye noti asee,sidhani kama tunaweza kuwa naye kwa misimu mitatu ijayo
Kwan arsenal haina noti???,,Dah huyu mwamba tutakuja kupokonywa na wenye noti asee,sidhani kama tunaweza kuwa naye kwa misimu mitatu ijayo
Huwezi kutufananisha arsenal na city au Madrid kwa mkwanja mkuu.wenzetu wana helaKwan arsenal haina noti???,,
Uwakute sasa wakidanganyana!! Kumbe katimu kanahitaji msaada wa maombi.
Wasipochukua Man City kombe mtabeba nyny mkuu🤠🤠🤠....maana unawashwawashwa sana kuona tunateleza ila wapi....nakukumbusha siku za kulipanq deni zinakaribia....TAfuteni kipa na mabeki wa kueleweka....hatutaki lawama siku hyoUwakute sasa wakidanganyana!! Kumbe katimu kanahitaji msaada wa maombi.
Jamaa kaongea pumba za kiwango cha juu sanaKwan arsenal haina noti???,,
unaongea pumba mzeeHuwezi kutufananisha arsenal na city au Madrid kwa mkwanja mkuu.wenzetu wana hela
Timu inahitaji namba 9, hilo liko uchi.Juzi Edu alienda Ureno kuongea na Uongozi wa Gyokeres. Kama hizi ripoti ni za kweli hii inamaanisha hata uongozi wa Arsenal unajua kwamba anahitajika ST.
Hii timu yetu pale mbele ukiwa na Watkins au Rasmus ni una uhakika wa ushindi wa 3+ kila mechi