makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,918
- 104,202
Karudi, ni mwendo wa benchi unadhani atajipata saa ngapi?Hio form itakuja Matchday ya ngapi bosi au mpaka mbio za ubingwa zianze.
Tunataka matokeo sasa sio siku za mbeleni.
serious is itInjury to Saka
Alimuamin kai kipindi jesus pia ana majeruhi, ila kwa sasa kai kashajipata na anatupa aslimia 80 kwa kile tunachokiiitaji je ni muda pia wa kai akae benchi ili jesus apewe game 6 -8 ili ajipate na yeye??? Muda uo haupo kaka.Karudi, ni mwendo wa benchi unadhani atajipata saa ngapi?
Pamoja na majeruhi ya jesus lakini arteta kaonesha kutokumuamini kama anavyomuamini kai.
Kwa sasa Kai Ni mzuri kuliko huyo jesus wenuNamkubali Jesus, lakini kwa arteta inaonekana chaguo lake la kwanza ni kai, anampenda kai, kile kipindi kigumu alichokuwa anapitia kai, vile alikuwa anambeba na kumuonesha imani kubwa juu yake, hajawahi kuonesha hivyo kwa jesus baada ya majeruhi yale ya kombe
naanza kuamini nilichokihisi mwanzo, mkuu hauna mapenz kabisa na kai hata achezi vzuri vip bado utaangalia mapungufu yakeNamkubali Jesus, lakini kwa arteta inaonekana chaguo lake la kwanza ni kai, anampenda kai, kile kipindi kigumu alichokuwa anapitia kai, vile alikuwa anambeba na kumuonesha imani kubwa juu yake, hajawahi kuonesha hivyo kwa jesus baada ya majeruhi yale ya kombe la dunia.
Hio ndo point.Kwa sasa Kai Ni mzuri kuliko huyo jesus wenu
Mkuu mbona unatokwa mishipa ya shingo?Kwa sasa Kai Ni mzuri kuliko huyo jesus wenu
Itakuwa kama tunabishana, mie naamini macho na akili yangu, nawe amini hivyo.Alimuamin kai kipindi jesus pia ana majeruhi, ila kwa sasa kai kashajipata na anatupa aslimia 80 kwa kile tunachokiiitaji je ni muda pia wa kai akae benchi ili jesus apewe game 6 -8 ili ajipate na yeye??? Muda uo haupo kaka.
Hii kumbukizi huna?Kumbukizi anuai
View attachment 3121262
Ninachojua hapo arsenal anakusanya points 9 Kama zilivyoOn paper tuna fixture ngumu ya games tatu zinazofuata kuliko city.
Hii ni kwa kuzingatia majeruhi pia kwa timu zote mbili.
View attachment 3124144
Asee hapo tunahitaji point zote tisa wala sio draw. Draw zishakua nyingi.Ninachojua hapo arsenal anakusanya points 9 Kama zilivyo
Hawa majeruhi inakuajeAsee hapo tunahitaji point zote tisa wala sio draw. Draw zishakua nyingi.
Kina nani tena arifu mbona naona kosi zima linarudi tukianza kazi na BournemouthHawa majeruhi inakuaje
Kumbe unaongea ki hisia na ushabiki. Me nikajua unaongelea boli halisia ambalo kila mtu analiona. Kama Jesus shemeji yako. Unaanzaje kumkanyagia.Mkuu mbona unatokwa mishipa ya shingo?
We amini hicho sikubishii, ni jicho lako na akili zako, naheshimu mawazo ya kila mmoja.
N.B kama mnamuona mzuri sana, mpelekeni kwa P. Diddy. 😂🤣