makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,905
- 104,173
Huu ni ukweli uliowazi, mazuri yake na mabaya yake, mabaya ni mengi mnoo, kuna muda anazingua kuliko maelezo, mpira sio kila muda wa maelezo ya mwalimu kuna maeneo unahitahi uwezo binafsi, hapa kai anatiharibu mnoo, uharaka wa pasi, jicho la pasi, unyumbulifu kwake ni matatizo ya kuzaliwa nayo.Huyo KAI bado ni takataka
Kwa vile unahitaji airtime ngoja tukupeBado kuna watu wanaamini kuwa Onana ni mbovu kuliko Raya?
Partey anaumwa.Arsenal imeanza kuripoti wachezaji wake ni majeruhi ili wasiende timu za taifa.
Wa kwanza ni Kai
aje hamis77 tumemiss
Unaweza kuwa na mapungufu lakini team mates wako wakajua namna ya kuyapunguza na kuficha....unachohitaji ni kujituma tu na ndo anachokifanya bwana mdogo ngongoti Kai....na anafunga....Kai hawezi kuwa Haaland wala Van Persie wala Henry wala berghkamp....Kai ni Kai....Huu ni ukweli uliowazi, mazuri yake na mabaya yake, mabaya ni mengi mnoo, kuna muda anazingua kuliko maelezo, mpira sio kila muda wa maelezo ya mwalimu kuna maeneo unahitahi uwezo binafsi, hapa kai anatiharibu mnoo, uharaka wa pasi, jicho la pasi, unyumbulifu kwake ni matatizo ya kuzaliwa nayo.
Lakini maajabu yake kuna games unamuona anafanya flexibility ambazo huwezi kuzidhania. Halafu kuna muda unaamini anatakiwa kupiga step over lakini anapokonywa mpira.Huu ni ukweli uliowazi, mazuri yake na mabaya yake, mabaya ni mengi mnoo, kuna muda anazingua kuliko maelezo, mpira sio kila muda wa maelezo ya mwalimu kuna maeneo unahitahi uwezo binafsi, hapa kai anatiharibu mnoo, uharaka wa pasi, jicho la pasi, unyumbulifu kwake ni matatizo ya kuzaliwa nayo.
Shida sio kai kuwa kai, hata van persie hakuwa dennia berkgamp wala Thierry henry, kuna vitu anafanya unastaajabu, kuna vitu basic lazima striker awe navyo, anakosa, kuna muda anatugharimu, striker unapata mpira huendi kwenye box, anaweza turn na kupiga pasi nyuma ama pembeni tena akiwa karelax na hafanyi movement nyingine ya kwenda golini..Unaweza kuwa na mapungufu lakini team mates wako wakajua namna ya kuyapunguza na kuficha....unachohitaji ni kujituma tu na ndo anachokifanya bwana mdogo ngongoti Kai....na anafunga....Kai hawezi kuwa Haaland wala Van Persie wala Henry wala berghkamp....Kai ni Kai....
Kuna muda anafanya jambo unajiuliza huyu mchezaji kweli 😂Lakini maajabu yake kuna games unamuona anafanya flexibility ambazo huwezi kuzidhania. Halafu kuna muda unaamini anatakiwa kupiga step over lakini anapokonywa mpira.
Na ile hana uthubutu wa kufuata box
Yeah, ile kuscore inafanya kuwe na mgawanyiko.Kuna muda anafanya jambo unajiuliza huyu mchezaji kweli 😂
Kwa kuwa anafunga fumga na timu inapata ushindi, ubaya wake ni ngumu kuonekana kwa mashabiki.
Yeah, ile kuscore inafanya kuwe na mgawanyiko.
Mfano mimi naamini ST asiposcore basi awe threat kiasi kwamba defense isahau kuna wingers na AM ambao itawarahisishia kuscore.
Kai hakupi hii. Asiposcore kazi ya kucreate anawaachia wengine
Kwahiyo tufanyeje sisi mashabiki wa arsenal?Yeah, ile kuscore inafanya kuwe na mgawanyiko.
Mfano mimi naamini ST asiposcore basi awe threat kiasi kwamba defense isahau kuna wingers na AM ambao itawarahisishia kuscore.
Kai hakupi hii. Asiposcore kazi ya kucreate anawaachia wengine
Last season?Mwenye link ya kuangalia mechi yetu vs Bayern Munich. Drop it here
Wako moja moja hukoArsenal women
imeishaje?Wako moja moja huko
Bayern: 5-2Arsenalimeishaje?
TumeshindaFulham:0- Asenali: 3
Mwendo Mdundo...