Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika jaribio la kuiokoa Chelkenge refa kaongeza dk 13
 
Soton kawasumbua mmemfunga bila clean sheet sisi tumepiga na clean sheet.

Ok poa. Sisi Villa tumempiga na clean sheet nyinyi vipi?
 
Katika jaribio la kuiokoa Chelkenge refa kaongeza dk 13
Ila wapi,wamebebwa lakini hawabebeki.
Nimeanza kuwaamini wale wanaosema ligi inaanza rasmi mwezi wa 12. Kwa vile kenge bado yupo huko juu,inaanisha ligi bado haijaanza
 
Ila wapi,wamebebwa lakini hawabebeki.
Nimeanza kuwaamini wale wanaosema ligi inaanza rasmi mwezi wa 12. Kwa vile kenge bado yupo huko juu,inaanisha ligi bado haijaanza
Kabisa...ukiona Chelkenge sijui wa nne mara Tano ujue hapo ligi bado.....ila ikifika ile miezi yetu ya 12 na kuendelea unawakuta wako chinichini kule wamejimix na kina Fulham🤠🤠🤠....hapo Sasa ndo ujue ligi imepamba moto
 
What a terrible turn of events at Falmer stadium!!

Ooooh wait, we love this terrible turn of events at Falmer stadium!!
 
Sisi si tulikuwa tumetoka kukipiga na PSG tukawapa kichapo? Tulipumzika siku mbili tu baada ya game ya ligi ya mabingwa wa Ulaya.
Nyie mlikuwa mmetoka kucheza na nani na mlipumzika siku ngapi kabla ya kukutana nao?
 
Huyo KAI bado ni takataka
 
Arsenal imeanza kuripoti wachezaji wake ni majeruhi ili wasiende timu za taifa.

Wa kwanza ni Kai
Forward wa kuaminika kwa Sasa ni yy tu pale....na anaongoza kulipwa hela nyng....hii knee injury nimejiuliza kaipata saa ngapi wakati kacheza mechi nzima fresh....hapa kuna uhuni wa Arteta....natamani na Saka naye angetafutiwa majeruhi yyte....jamaa anatumika sana mpk inaogopesha
 
Mashabiki wote tunaamini ni ujanja tu. Huu msimu tumeanza na majeruhi wengi ambao waliyapata wakiwa international duties tena mechi ambazo hazina umuhimu
 
Huyo KAI bado ni takataka
Huu ni ukweli uliowazi, mazuri yake na mabaya yake, mabaya ni mengi mnoo, kuna muda anazingua kuliko maelezo, mpira sio kila muda wa maelezo ya mwalimu kuna maeneo unahitahi uwezo binafsi, hapa kai anatiharibu mnoo, uharaka wa pasi, jicho la pasi, unyumbulifu kwake ni matatizo ya kuzaliwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…