Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Villa kapaki basi na kampiga Bayern.

Bayern walikua na kosakosa nyingi kweli kweli lakini mwisho Duran akawatuliza.

Kila mtu ataisifia Villa ingawa haram football walilopiga likipigwa na Arsenal ni lawama na kuambiwa tunatembelea dark arts.

Let's see
 
Basi tunalopaki sio poa.
Mechi mbili za mwisho Arsenal tulizocheza naona kama tumebadili mfumo. Attackers wanapanda kushambulia na mpira ukipotea wanashuka chini kukaba asee. Saka walimhoji baada ya mechi na PSG kama captain akasema inachosha ila inawapa matokeo.
Nafikiri tukiendelea hivi itakua na matokeo chanya. Ila mwambieni Martinelli aongeze goal scoring accuracy anapoteza sana nafasi za wazi.
 
Hii timu ni kazi bure
 
Tunavumilia tu
 
Tunashukuru saana
 
Man United hakuna timu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…