Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo mnakaangwa kaka ,Mashetani yamewapanda Leicester ,mmekslia nafasi yetu muda mrefu ninyi matapeli ,ni muda muafaka wa kuachia ngazi ,real champions WA England tunaclaim nafasi yetu .
Epl imenajisiwa kwa muda mrefu
🀣 Hahaha
 
Kuna pattern naiona hapa.

Arteta alilazimisha kumchezesha Kai games nyingi hata baadhi ya defeats na draws zilisababishwa na uwepo wa Kai.

Saa hii anamchezesha Calafiori ingawa kuna makosa yanaonekana kwa urahisi tu. Notice kwamba Kiwior did a better job.

Ila kocha anakomaa na Calafiori.

Absurd
 
Anaingia Nwaneri na unaona kaingia mchezaji ana hamu alete impact
 
Calafioti is not that much bad nadhani unamchukia tu
 
Leicester hawataki hata kona πŸ˜…πŸ˜…

Wao wamejiandaa kuja kukaba kona tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…