Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kadri anavyozidi kucheza atazidi kurekebishwa...hata Gabriel alovyokuja kipindi kile alikuwa ana wenge Fulani hivi ila Sasa hivi ni muhuni wa kutupa mbali....Kila Haaland akilala usingizi anamuota anaweweseka🤠🤠🤠
Gabriel wadau walimsema sana.
 
Gabriel wadau walimsema sana.
Kabisa....wiki ijayo Merino anarudi mazoezini rasmi na bwana mdogo Tomiyasu🤠🤠🤠....ikumbukwe ligi inaanza rasmi mwezi wa 12 maana saahzi bado tupo pale juu na kina Chelsea mara Aston villa....ila ikifika hyo miezi ya 12 watakuwa wamesharudi nafasi zao za 7 na 8 huko....halafu sisi na kipara tutakuwa pale juu tunaoneshana makali
 
Hata Nico kama namuelewa vile, tatizo ufupi
Mambo vipi mkuu, samahani naomba msaada wa app nzuri ya mpira kwa smart tv, ikiwa na channels za bein tv itapendeza zaidi, mimi natumia yacine app kwenye simu, nimejaribu kuinstall kwenye tv imenikatalia.
 
Kadri anavyozidi kucheza atazidi kurekebishwa...hata Gabriel alovyokuja kipindi kile alikuwa ana wenge Fulani hivi ila Sasa hivi ni muhuni wa kutupa mbali....Kila Haaland akilala usingizi anamuota anaweweseka🤠🤠🤠
Ajirekebishe mapema kabla hajakutana na winga teleza za chelsea, hatutaki lawama. Msije mkasema watujawaambia.
 
Kadri anavyozidi kucheza atazidi kurekebishwa...hata Gabriel alovyokuja kipindi kile alikuwa ana wenge Fulani hivi ila Sasa hivi ni muhuni wa kutupa mbali....Kila Haaland akilala usingizi anamuota anaweweseka🤠🤠🤠
Ajirekebishe mapema kabla hajakutana na winga teleza za chelsea, hatutaki lawama. Msije mkasema hatujawaambia.
 
Ajirekebishe mapema kabla hajakutana na winga teleza za chelsea, hatutaki lawama. Msije mkasema watujawaambia.
Madueke??🤣🤣🤣....winger mwenye akili Chelsea ni mmoja tu...Neto...hao wengine ni bogus kabisa....yaani nikikaangalia kale katimu kenu nabaki kusikitika....hutapata point kwetu...hutapata kwa Liverkuku...Man City hyo kashakufilimba tyri....labda Manyumbu utayabahatisha....na bdo kina Nyukesto watakuweka vzuri....yaani in short mna kama miaka 3 hivi msipofukuza kocha ndo walau mnaweza kuchezacheza kidogo....ila kwasasa TAfuteni viungo na mabeki wa kueleweka....siku tukikutana hatutaki mitusi kwa Kocha wenu
 
Chama la wana leo tunakiwasha na dunia nzima inafurahi ,mtaani tunavimba kibabe sasa hivi .
Ninyi pigeni soga tu ,sisi sasa hivi hatuna maneno mengi ,tunashusha dozi nzito nzito mfululizo ,yaani kifupi sisi ni " mtu kazi "
Usiombe kukutwa na sisi bwana pepsi , tutawapa kipigo ambacho hamtasahau ,kwanza tuna hasira na ninyi pimbi wa London ,mnatuvimbia Sana siku hizi kiufupi hamna nidhamu kwa kaka zenu mabingwa pekee na wababe halisi wa London , sasa hivi kila anayesogea mbele yetu hatuna mzaha ni goli 3 na kuendelea mtachagua wenyewe mfungwe tatu ,nne ,Khamsa nk ni ninyi wenyewe tu .
Najua unadhani natania ila we mwenyewe utaona shughuli , huyo mamasita aka mancity alitubahatisha tu ile mechi kama uliangalia vizuri , na ni mechi ya kwanza , chemistry haikuwa ka ilivyo sasa .
Mkuu nakupa onyo : Arsenyetoz tutawakanda vibaya sana .
Chelsea bingwa
 
Kwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
 
Sterling game iliopita alicheza vizuri nafikiri akipewa muda mwingi yeye na Saka watasaidia kuwapa mipira kina Kai na wenzake pale kati.
 
Kwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
Europa ni kubwa sana waulize arsenal wenzako ,vitu vikubwa kama uefa na europa mshabiki wa arsenal hatakiwi kujadili mpaka apate ruhusa kwa mashabiki wa team ziliochukua kombe ,unaongea vipi kuhusu europa na uefa
 
Sasa Newcastle wanafanya intensive pressing na hawaupati mpira.

City haitumii nguvu sana.

Soon fatigue itaset in. Ama wascore mapema kuwaforce City kua physical ama wapime wanachofanya
 
Newcastle yuko kwake. Hana red card. Hajakutana na Rodri na Foden. Asimuache huyu City ili Labyrinth aje kutupa maneno humu.
 
Liva anakutana na wolves, wolves wapo kwenye formya hovyo kwa sasa so hata kama leo tukishinda inakua ni step tu ya kumaanisha tunafanya kitu sahihi na impact itakua ni ya long run ila siyo leo leo.

So tujiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…