Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ngoja weekend mkutane na wanaume wa Epl mnyooshwe
Naona leo kilaza bolton mnajipigia tu wenyewe .
Siku mkikutana na real champions WA London ,mtajuta kuingiza hicho kikundi chenu cha wachenza ngoma uwanjani
 
Arsenyetoz mikwara mbuzi mingi sana ninyi , kila msimu ninyi ni loosers tu , ndoto ya kubeba Epl wala UEFA hiyo futa kabisa akilini mwenu
Kama mlishindwa kubeba kombe msimu uliopita kwa city ile iliyokuwa inachechemea ndio basi tena ,
Ninyi komaeni na carabao na FA , Ndio trophy zenu , na msimu huu hambebi
 
Kwa Lewis Skelly tuna mtu ila inabidi akicheza eneo lake awepo mtu anayeweza kudefend mno ili kuziba na udhaifu wa Lewis Skelly kwenye defense.

Nwaneri is good.
.
Kwa jana tulikua na chipukizi watatu na kama wataanza kuingizwa kikosini polepole tuna wachezaji wazuri.
 
Huyu Calafiori asipojirekebisha tutakuja kumkataa.

Ana high risk high reward attitude. Hii anaionyesha kwenye pasi zake lakini hata katika namna ya kukaba.

Kutokana na hii attitude kwenye kukaba hua anacommit mapema bila kuassess situation hii inasababisha asiwe mzuri kwa timu inayofanya 1 2.

Pia hii hufanya asijue wa kummark.

Goli la kwanza la City lilitokana na hii tabia. Na first shot ya Bolton ilitokana na hii tabia. Na threat ya Bolton mpaka Jesus akaonekana kama anasababisha penalty ilitokana na hii tabia.
 
Trossard alipata njano mbili.

Ukigewa njano mbili maana yake utakosa mechi moja.

Njano alizipata kwenye ligi inayosimamiwa na FA. Hivyo mechi moja anayoikosa ni yoyote inayosimamiwa na FA.

Mechi za Carabao zinasimamiwa na FA. Hivyo mechi moja ambayo Trossard ameikosa ni dhidi ya Bolton na Jumamosi anakuepo kwenye lineup dhidi ya Leicester.
 
tabu iko pale pale ni mwendo wa kutoa dozi tu
 
Yes hiki kitu nilikiona, anapotea flani hivi katika marking
 
Mkuu sijaona ukikitaja kiwanja cha Stamford bridge au kile ni kiwanja chetu cha mazoezi🤠🤠🤠....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…