Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ni 25 / 09 / 2024 mkuu
 
Nasikia tuna tuhuma mpya tumepewa. Wanadai tunatumia DARK ARTS katika mechi zetu


That's why tumekuwa disappointed na usajili wa dirisha hili, ilibidi tuwe na vyuma haswa, wakati wanapiga kelele sisi tunasonga mbele tuu
 
Ila mkuu naona saizi umejifunza ujaja na kelele kama misimu mingine naona kukosa kombe mara 2 mfululizo kumekupa akili.
 
Usichoelewa hapo nini mkuu, na hii mpka tuition?

Kwenye post yako ni malalamiko kwamba Oliver yupo against Arsenal, so nikawashauri muache kulia lia? Arsenal sio timu ya kwanza kupewa red card y aina hiyo.

Picha chini nikakuwekea picha Mechi Arsenal Vs Chelsea, Xhaka alimchezea Kovacic rafu ila aliyepewa red card ni Kova. Kukuonyesha sometym vitu kama hivyo hutokea upande wenu pia. ila hakuna aliyelia lia.

Ikitokea upande wenu mnadai Arsenal haipendwi, haipendwi for whatttt? wakati hata ulaya tu hako katimu kenu hakatambuliki.
 
Ok sawa.

Na huyo refa aliyempa red Kovacic alikua amegoma kumpa mchezaji wa Arsenal red akidai atainfluence mechi? Kisha akatoa kwa Kovacic?

Stick na PEP system mkuu
 
So City kupigwa goli la kona kaona dhambi?
Mi niliwaambia humu, Jumapili tutawaletea tabu wakaona nawapiga mkwara


Man U, Chelsea na some Liverpool fans wameungana na City kutukaanga mitandaoni kote.Nilichokipenda, tunaenda nao SAKO KWA BAKO kila sehemu. Wakileta utata wowote, utaona fans hao, wanakuja kurudisha za uso

Nimekumbuka maneno ya Arteta after a loss vs Everton mwaka jana.

"I want the team to know how much I love them. I love them much more now than three hours ago, a week ago, month ago, three months ago. It’s very easy to be next to the players when they are winning and performing. This is the moment I love my players more, the staff more and now we stick together. This journey is going to be difficult and challenging, and there’s going to be bigger stones in the middle that we’re going to have to overcome that. And now we’re going to prepare really well in the week to get to Saturday in the right emotional level and right spirit to be perfect."
 
Naona unafata falsafa ya PEP kutoka kwa Castr
 
Ni suala la mashabiki na vilabu kubadili tu mtazamo wao kuhusu arsenal.mfano.
-ilizoeleka ukitaka kuwashinda arsenal, bully them.kwasasa kuna watu ni wababe balaaa
-ilizoeleka arsenal hatuwezi physical games.aisee usijaribu kupishana na sisi ili eneo maana utaumia.kuna watu wana msuri balaa na kama huamini muulize haaland.
-ilizoeleka arsenal hatuwezi big games hasa kwenye viwanja korofi kama OT,anfiled,etihad na uwanja wa tot ila kwasasa we tuite popote na utapewa show ya kibabe.
-Ilizoeleka tuna kocha mstarabu,mpole na anamwachia mungu ila kwasasa we have a dark arts master coach.anamoto,ana midadi na anapambana jino kwa jino

-Ilizoeleka sisi ni wazee wa beautiful football na entertainers ila kwasasa ni mabingwa wa haramu football.juzi tulipaki meli nchi kavu
-Ilizoeleka mchezaji akikosa plan A na B basi anaamua kuja kwetu.kwasasa sisi tunachagua nani aje na nani asije.Tukikwambia njoo ukileta poz ni haturudi mazima.

Onyo:mashabiki wa timu pinzani mna muda wa kufurahi kipindi hiki hatuna proper striking force,ila siku tukipata striking force ya maana trust me mtajuta kukutana na sisi.

Kiangazi anaondoka jogi,partey na jesus halafu watakuja watu hasa na natamani midle iwe na mchanganyiko wa mhispania na mtu toka america.deadly and leathal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…