Swali la msingi.Kuna muda unasimama na timu kama mtu wa mpira,ila ukija kama shabiki ni risk kubwa mno kwa namna tulivyoanza msimu huku tukiwa na strike force ya
Harvets
Jesus
Martinel
Saka
Ni wachezaji wachache watakua radhi kukaa sehemu ambayo mafanikio makubwa hakuna.Sio saliba tu.hata saka pia kama hatutashinda kombe la maana msimu huu basi kuna hatari tukamkosa.Timu kama madrid,man city na hata psg kwa mbali siku wakija siriasi kwa saka na saliba basi hatutakuwa na nguvu ya kuwazuia
Liverpool hapana sioni kama wameimarika kiasi hicho. Na bado inawezekana msimu ujao wakazidi kua hovyo.Mimi kwa msimu huu kinachonipa wasiwasi sio ubora wa arsenal bali ni kuimarika kwa wapinzani.
Liverpool chini ya slots wamebadilika
Chelsea chini ya enzo maresca wanakuja vizuri
Aston villa kaanzia alipoishia msimu uliopita na usajili wake unakwambia wazi kuna kitu wanataka
City kamrudisha gundo na kamuongeza savinho.
Tusubiri maajabu tu kama yapo
Tatizo ilikuwa ni kukosa small pocket players, timu zinazo set in a midblock zilitusumbua sana msimu jana, Fulham, porto, Bayern na Villa, sidhani kama tatizo limetatuliwa direct ila naamini kwa usajili wa Merino utabadilisha mwelekeo, uzuri kuhusu mikel arteta anaweza kuona tatizo fulani lkn akalitatua sio kwa kutafuta direct solution ila kwa ku change the team's dynamics, Mfano umeona namna set pieces zinavyotuokoa nowadays, tukishakupiga goal tunareset to default ukuta wa Berlin hata hitler hawezi kuubomoa.Tuna quality karibia kila eneo kasoro kwenye ushambuliaji.
Unaweza kuona hata game na fulham na aston villa msimu uliopita ambazo zilitukosesha ubingwa ni kutokana na ubutu wa safu ya ushambuliaji wala sio udhaifu wa defense
Swali la msingi.
Kwanini Arteta haoni kama anahitajika ST pale? Watkins, shabiki lialia wa Arsenal ameshindwa kumtega?
Mbali ya Van dijk kuondoka bado ni timu ambayo haina natural #6, labda kama watasajili January wanaweza kuwa tishioLiverpool hapana sioni kama wameimarika kiasi hicho. Na bado inawezekana msimu ujao wakazidi kua hovyo.
Virgil anaweza akaondoka na Trent pia
kwa navyoelewa mimi Kai havertz sio all rounder attacker kama alivyokuwa De lima, a ST who can score a goal in every angle, lakini kai ni mchezaji anayetumika zaidi tactically kwa mpira wa kileoGuys with humble voice
leo naomba mtu anieleweshe Kai Havertz anaisadiaje timu yetu, what his impact to our final third or midfield??
Binafsi sioni tukichukua makombe kama tunawapa nafasi wachezaji dizaini hii.
Kama unaangalia mechi ya leo naona kama vile Kai ana utulivy kuliko kawaida au kwa hizi dakika chache au ni macho yangu?Guys with humble voice
leo naomba mtu anieleweshe Kai Havertz anaisadiaje timu yetu, what his impact to our final third or midfield??
Binafsi sioni tukichukua makombe kama tunawapa nafasi wachezaji dizaini hii.
Is effective ist worth??kwa navyoelewa mimi Kai havertz sio all rounder attacker kama alivyokuwa De lima, a ST who can score a goal in every angle, lakini kai ni mchezaji anayetumika zaidi tactically kwa mpira wa kileo
A target striker
starting the press
drop deep and link play
Mimi sizungumzii mechi ya leo najaribu kuangalia overall yake since ameingia gunnersKama unaangalia mechi ya leo naona kama vile Kai ana utulivy kuliko kawaida au kwa hizi dakika chache au ni macho yangu?
Overall kila siku tunaona hayupo on par. Mimi nimeuliza kwa leoIs effective ist worth??
Mimi sizungumzii mechi ya leo najaribu kuangalia overall yake since ameingia gunners
Unafikiri tunaweza kuchallenge ubingwa tukiwa na mchezaji kama Kai ambaye anaanza karibia kila mechi na mchango wake ni debatable everyday?Overall kila siku tunaona hayupo on par. Mimi nimeuliza kwa leo