Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wanahisi kupaki basi kazi nyepesi.

Unahitaji mbinu na wachezaji wanaoelewa mwenzangu akitoka nifanye nini.
Binadamu hawakosi la kuongea....ukipiga mpira mwingi usipate matokeo bado wanakunanga kwamba pasi nyingi magoli hamna...ukipiga low block na counter attack upate magoli bado wataleta vi stats vyao uchwara kwmba ulizidiwa Kila kitu ila umeshinda kibahati🤠🤠🤠....safari hii muendelezo ni uleule hakuna kufungwa na big six yyte....Hawa wengine wadogo tutajua namna ya kumalizana nao...ngoja wachezaji wetu wte majeruhi warudi tutaelewana taratibu
 
Acha kujimwambafai, mshukuruni kwanza spars kwa kuwaekea foward SOLANKE, ndio uje na hizo komedi zako.
 
We ungekua kocha ungemuweka nani?
Ningekua kocha licha y kumpanga kwnye kikosi,siwezi kununua mchezaji takataka kama Solanke.

Kuna kondoo mwenzio kakwambia umwite nyumbu, usisahau basi.
 
Ningekua kocha licha y kumpanga kwnye kikosi,siwezi kununua mchezaji takataka kama Solanke.

Kuna kondoo mwenzio kakwambia umwite nyumbu, usisahau basi.
Point yangu ilikua kwamba kwa namba 9 Spurs ni bora Solanke kwakua ambaye hua anacheza hiyo namba, Richarlson, ni mbovu zaidi ya Solanke.

Pili, top goal scorer wa misimu miwili, Haaland, ameshindwa kuscore dhidi ya Arsenal. Hauoni kama ST mwingine yeyote utakua unamuonea tu?
 
TAfuteni kipa wa kueleweka na mabeki wa kueleweka jmni....siku tukikutana msije kuanza kumtukana kocha wenu mapema
Yaani kw mawazo yako tutawachezea chezea kama walivyofanya spars, spars ni wehu sana wamewapa midomo nyie kondoo.
 
Yaani kw mawazo yako tutawachezea chezea kama walivyofanya spars, spars ni wehu sana wamewapa midomo nyie kondoo.
Spurs ni vijana wetu ila nyny ni mandondocha yetu...yaani mda wwte tukipangwa na nyny ni makwenzi tu....Tusumbuliwe na timu inayomtegemea Jackson kama forward kwli???....uzuri mifano ipo hai....zile Tano za mwaka jana pale Emirates mwaka huu tunazileta pale darajani.....tutawadunda kama hatuwajui....
 
Haaland kashatufunga mara mbili, kwenye ushindi wao wa 3-1 na 4-1. Msimu wanachukua ligi kwa tofauti ya point 5 dhidi yetu.
 
Napingana nawe kusema Conte alimtumia Luiz kama Libero, libero inapatikana kwenye system catenaccio, so ni ngumu kucheza hii system wakati unafanya zonal marking, often libero anakuwa last man in defence so anadefend zone btn the GK and CB, sasa huyu often anaua ile offside trap hivyo inaleta ugumu kupress highline, high line mara nyingi inataka the flat back four, wataliano wametumia sana hii sytem cuz hawakuwa na zonal marking before arrigo sacchi na pili wanatendency ya kudefend deep per 90.
 
Atawafungaje wakati mnamkamia gab kila mahala anaenda nae mpk dressng room na contena juu mnaweka, halafu kwa hayo mazoea kila mkikutana na city mnaweka contena, kipara anasuka tu kafoko lift kake. mtakuja kulia viazi nyie.
 
Tatizo hata hizo pasi za kuscore hazipati
 
Atawafungaje wakati mnamkamia gab kila mahala anaenda nae mpk dressng room na contena juu mnaweka, halafu kwa hayo mazoea kila mkikutana na city mnaweka contena, kipara anasuka tu kafoko lift kake. mtakuja kulia viazi nyie.
Ukisikia mtoto kautaka ndo kama hivi sasa. Jumapili, we will be there!
 
| Pep Guardiola: “The question isn’t can we beat Arsenal, it’s can we score.”

Zinchenko, Merino, Ødegaard Tomiyasu and Tierney NOT in training

[Charles Watts]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…