Naona rythm yetu ya uchezaji na form tuliyokuwa nayo misumu juzi inapotea sana naona makosa mengi kimfumo na individual....partey akili inataka mwili hautaki
Mjinga kiukweli tumechezewa rafu nyingi za kidwanzi anapeta na hatoi kadi hili ni tatizo pia lakuwa na captain mpole mpole kam odegaard ni lin captain wetu kampa prssure kubwa refa kwenye maamuzi mabovu dhidi yetu?
Hapa ndipo nagombana na kai, nafasi kama hizi ni muhimu mnoo kwa game kama hizi... Weka kambani, mpo pungufu, game 1, 1 kisha unakosa nafasi kama hii, we si unakuwa punguwani.
Hapa ndipo nagombana na kai, nafasi kama hizi ni muhimu mnoo kwa game kama hizi... Weka kambani, mpo pungufu, game 1, 1 kisha unakosa nafasi kama hii, we si unakuwa punguwani.