Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakini hao wote uliowataja wanakubali kuwa back up ya mtu fulani. Kuna watu kuwatoa kikosi cha kwanza labda wavunjike. Hao kina saka hata aje nani kuwatoa kikosi cha kwanza ujipange
ishu ni squad depth na quality rotation bro
 
hatupaswi kuangalia wapinzani tunapaswa kuangalia mapungufu yetu!!mpaka hapo tuko sawa kaka??
Tuko sawa ila siyo kwa ST.

RW pia ni ishu kwakua hatuna uhakika na jinsi Sterling ataadopt.
 
mbona mapungufu yetu yanajulikana ST RW na LCM na LB
LB - Calafiori, Timber, Zinchenko, Kiwior

LCM - Merino, Rice

ST - Jesus, Trossard, Kai

RW - Saka, Sterling, Jesus

Niliobold ni sajili mpya
 
Sterling chelsea watachangia mshahara
Shida sio mshahara, mimi niende bure arsenal ama niwe nacheza kwa kuwalipa wao hela lakini bado wakanikataa..

Muhimu ni mchango wake uwanjani, anakuja arsenal kama nani, anakuja kutibu ugonjwa wa arsenal? Huyu nae ni mmoja kati ya wapotezaji nafasi za wazi kweli kweli.. Kiazi KAI limeongezwa BOGA sterling, hapa tujiandae kula FUTARI. 🤣😂
 
Sterling Sina matumaini naye, kile kiuno kilichopinda kitavunji ndo wowote🤣🤣🤣
 
Itabidi tuheshimu mawazo yako, japo bado ni ya kiduanzi. Kwamba the likes of Osimhen ni wachezaji wa kawaida
 

Sancho gani wa manyu? Sancho ana uzuri gani? Hajui crossing, hajui kufunga hajui kudribble past players. Hamna kitu pale sijui mnaangalia mpira gani.
 
Sancho na Rahimu wote magalasa hamna players pale. Arteta anataka kuifanya arsenal kuwa man City B. Kavuta zinchenko, Jesus na sasa Rahimu Hawa wote ni magalasa hayana kitu ndo maana pep aliyauza na arsenal hamna kitu yamefanya.

Arteta atafute system yake sio kucopy kila kitu cha city. Next season timu itafute kocha mwingine.
 
Itabidi tuheshimu mawazo yako, japo bado ni ya kiduanzi. Kwamba the likes of Osimhen ni wachezaji wa kawaida


Sent from my SM-N986U1 using JamiiForums mobile
Tuzungumze mpira . Tueleweshane. Weee mpira unaujua . Tungemtakq osihmen tungempata...? Usajili ni makubaliano ya pande Tatu. Means kila mtu aridhie kwa upande wake.
 
Itabidi tuheshimu mawazo yako, japo bado ni ya kiduanzi. Kwamba the likes of Osimhen ni wachezaji wa kawaida


Sent from my SM-N986U1 using JamiiForums mobile app
Halafu kama mpira unaujua . Utagundua mpira haupo hvyo . Ety kisa mchezaji fulani anajua basi asajiliwe tu ukadhani atakuwa na impact kwenye timu. Tumesajili wangapi wamefeli kudeliver tulichokihitaji. Au vilabu vingapi wamesajili wacjezaji wakashindwa ku perform. Hao kina gyrekes ni kina Carol tu waliochangamka. LIJUE BOLI MZEE
 
Kama wewe ni shabiki wa Arsenal basi Boli hulijui. Kama siyo shabiki wa Arsenal Unaongea Unafki😅
 
Kama wewe ni shabiki wa Arsenal basi Boli hulijui. Kama siyo shabiki wa Arsenal Unaongea Unafki😅

Rahimu toka kaondoka city kafanya nini cha maana? Kwanini city ilimtema? Kwanini Chelsea haimtaki?

Sancho ana uzuri gani? Huyo hata manyu walirogwa kumnunua maana aliwika msimu mmoja tu Dortmund ila Dortmund wenyewe hawamtaki sasa. Hana skills kabisa za winger.

Ushabiki mandazi wenu unafanya msione mambo ya wazi kabisa. Una numbers gani to back them up?
 
Mbona Cole palmer aliuzwa man City. Mchezaji kuondoka Timu fulani haimaanishi ni. M bovu. Labda waliopo ni bora kuliko Yeye..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…