arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Sesko alitaka kubaki kwa mwaka mwingine kwny timu yake Ili a develop zaidi...utaenda kumteka au??...usajili unahusha pande 3...vilabu 2 na mchezaji....mnaweza mkakubaliqna vilabu na mchezaji akagoma na hamuwezi mlazimisha...ndo mpira ulipofika hapa...Chelsea kwa Osimhen imekuwaje kwani....utawalaumu Chelsea kwmba wameshindwa wakati mchezaji mwnyewe kagoma....washabiki tunapenda furaha ila wakati mwingine tupunguze malalamiko....waarabu wamemu offer Osimhen £600000+ kama mshahara...Yy akawaambia Chelsea anataka £300000 Ili akubali kwnda kwao wamegoma huo mshahara....Sasa ulitaka Arsenal waende kichwakichwa kutoa hivyo hela...kwa uchezaji upi braza...mi nikimuangalia Osimhen namuona ni mchezaji wa darajq la kina Toney tu....Hana u spesho wa kupewa hyo hela....Chelsea walikurupuka kwa Sterling kwa ule mshahara....leo wametupa Bure tusaidiane kulipa mshahara....kwhyo sio rahisi kama mnavyodhani tu....kikubwa timu ipambane isiteleze kama mwaka jana na hakika tutabeba ndoo....good defence wins u titlesHakuna anayefata mkumbo mkuu. Ni kawaida mashabiki kufanana mawazo, na hili linajulikana.
Unaulizaje angesajiliwa nani katika soko ambalo kuna Osimnhem, Gyokeres, Sesko, Furgeson
Kuna ubavu kama wa Williams na Rafael Leao, af timu inabaki na maombi ya kiwango cha Martinelli cha 22/23 kufufuka, wakati huo mpinzani wako anavuta Savinho