Swali la kiduanzi kabisaAngesajiliwa nani
Sometimes unatakiwa uweke hisia pembeni halafu Uzungumze Mpira mzeeSwali la kiduanzi kabisa
Hutakiwi kufata fata mkumbo . Kisa kikundi cha watu fulani wanamkandia mchezaji fulani . Na wwee ukaanza kukandiaSwali la kiduanzi kabisa
EPL 23/24Tofauti ya points za bingwa na arsenal msimu uliopita ni ngapi?
Ni mechi moja,tufanye ya villa, haikuwa sababu ya uwezo bali concentrationEPL 23/24
Man City 91p
Arsenal 89p
Two points na ubingwa hola
So, kila mchezaji, kila staff anayesajiliwa lazima aakisi kufunga Hilo ga la 2points na hao wajomba.
Unamuona Sterling akifanya hivyo?
Ndio maana mdau juu akasema tutashinda, ila ubingwa hola
Sterling chelsea watachangia mshaharaArteta hayupo serious, tuna kiazi kai, halafu anaenda kutuletea bogus sterling,
Tutashinda shinda game nyingi lakini KIKOMBE sifikirii
Hakuna anayefata mkumbo mkuu. Ni kawaida mashabiki kufanana mawazo, na hili linajulikana.Hutakiwi kufata fata mkumbo . Kisa kikundi cha watu fulani wanamkandia mchezaji fulani . Na wwee ukaanza kukandia
Sio jibu hili braza la swali nilokuuliza.. mko nafasi ya ngapi mkuuNyie tunawajua hata mkishika nafasi ya kwanza hamna madhara tunawasubiri May huko muachie nafasi za watu
Sesko alitaka kubaki kwa mwaka mwingine kwny timu yake Ili a develop zaidi...utaenda kumteka au??...usajili unahusha pande 3...vilabu 2 na mchezaji....mnaweza mkakubaliqna vilabu na mchezaji akagoma na hamuwezi mlazimisha...ndo mpira ulipofika hapa...Chelsea kwa Osimhen imekuwaje kwani....utawalaumu Chelsea kwmba wameshindwa wakati mchezaji mwnyewe kagoma....washabiki tunapenda furaha ila wakati mwingine tupunguze malalamiko....waarabu wamemu offer Osimhen £600000+ kama mshahara...Yy akawaambia Chelsea anataka £300000 Ili akubali kwnda kwao wamegoma huo mshahara....Sasa ulitaka Arsenal waende kichwakichwa kutoa hivyo hela...kwa uchezaji upi braza...mi nikimuangalia Osimhen namuona ni mchezaji wa darajq la kina Toney tu....Hana u spesho wa kupewa hyo hela....Chelsea walikurupuka kwa Sterling kwa ule mshahara....leo wametupa Bure tusaidiane kulipa mshahara....kwhyo sio rahisi kama mnavyodhani tu....kikubwa timu ipambane isiteleze kama mwaka jana na hakika tutabeba ndoo....good defence wins u titlesHakuna anayefata mkumbo mkuu. Ni kawaida mashabiki kufanana mawazo, na hili linajulikana.
Unaulizaje angesajiliwa nani katika soko ambalo kuna Osimnhem, Gyokeres, Sesko, Furgeson
Kuna ubavu kama wa Williams na Rafael Leao, af timu inabaki na maombi ya kiwango cha Martinelli cha 22/23 kufufuka, wakati huo mpinzani wako anavuta Savinho