Kwani leo ndo deadline ya usajili..?..Ramsdale amejiunga na Southampton
NdiyoKwani leo ndo deadline ya usajili..?..
Mkuu Fabio hayupo. Nwaneri bado youngKuna muda unapaswa kutazama usajili sio kwa sura ya usajili tu bali kwa aspect nyingine.mfano.
Tunahitaji winger,hasa winga ya kulia na hata kushoto pia.
Kulia una saka,una fabio japo ni kama RCM
saka ni early 20
Fabio ni early 20
Ethani ni early 20
Ukisajili mchezaji yeyote hapo awe ni potential au complete maana yake ujiandae kumpoteza fabio au ethan japo hawa wote wanaweza cheza RCM ikilazimu.
Hiki ndo kimefanya CHIDO OBI pamoja na factor ya mshahara kutukimbia.
Kila winger anayetaka kuja arsenal lazima ajiulize maswali kwa SAKA na MARTINELL
Rambo katuacha sababu ya RAYA sio kama haipendi timu
Palmer ndo maana aliondoka man city
Alvarez ndo sababu ya kuondoka CITY
Its too hard to keep two world class player of the same position at same club.
Pep alitaman kubaki na zinchenko,palmer na hata alvarez ila sasa huwez kuwa nao wote kwa ubora wao.
Ndo maana unona anawaza kumleta kingsley au raheem kwasababu hawa ni kama they have nothing to prove.ukimpanga poa na usipompanga poa pia.
Ushawahi kujiuliza academy player anayecheza nafasi ya watu kama saliba,white,saka,ode,rice anajisikiaje anapoona viwango na umri wa hao wachezaji wakati na yeye yuko online.
Trossard tu ameshaanza kumpa shida arteta vip akija mwingine?
Ndo maana sikuhangaika kufuatilia tetesi za douglas luiz,fofana na wengine katika nafasi ya DM baada ya kujua jojinho na partey hawaondoki
Ukocha kazi kweli,you balance squad and you balance fans expectations
Juve wamemvunjia mkataba Chiesa ???? Kwa uongo tu upo vizuri sana.Tangu apate injury amekua siyo yule wa kipindi kile.
Juve kumvunjia mkataba siyo vipofu
Izo habari za kuforce wote wacheze hazileti balance kwenye timu aslimia kubwa, kuna wakati inabid balance iwepo kwenyw timu na wachezaj kadhaa wapishane kwenye namba izo, huwez kuleta RW Tena World class kuna mmja itabid akose game time ya kutosha tu hakuna uwezekano wa wote kucheza kisa wote wana viwango sawa .Mkuu Fabio hayupo. Nwaneri bado young
Mbappe, Rodrygo na Vini wote ni LW lakini unaona kocha anavyowatumia? Kama tuna world class RW hakuna namna atakosa game time kisa Saka yupo
Chiesa ameambiwaJuve wamemvunjia mkataba Chiesa ???? Kwa uongo tu upo vizuri sana.
Daah mkuu si unajua mtu akipenda hata chongo huita kengezaChiesa ameambiwa
"You are not part of the project"
Hawakumpa contract renewal yeye na wengine akiwemo Wojciech. Na ripoti ilisema wote wamevunjiwa, kama una ukweli zaidi ya huo badala ya kunishutumu ungekaa nao tu kwakua nyinyi ndiyo mnamtaka
Upo sahihi piaIzo habari za kuforce wote wacheze hazileti balance kwenye timu aslimia kubwa, kuna wakati inabid balance iwepo kwenyw timu na wachezaj kadhaa wapishane kwenye namba izo, huwez kuleta RW Tena World class kuna mmja itabid akose game time ya kutosha tu hakuna uwezekano wa wote kucheza kisa wote wana viwango sawa .
Juve wamemvunjia mkataba Chiesa ???? Kwa uongo tu upo vizuri sana.
what......?Mikel Merino ameumia
Kaumia bega atakuwe nje kwa week kadhaawhat......?
Nyie mlitaka Gabi amwaache ili yeye asicheze? Natania tuHe was really excited and everything was looking really good. He landed on the floor and Gabi landed on top of him and it looks like he has a small fracture probably.
Walichokifanya Juve kwa Chiesa sio kumvunjia mkataba sasa kama wewe unavyo sema, Juve walichokifanya kwa Chiesa ni kama kumpiga mnada vile kwa sababu alikuwa anaingi final year ya mkataba wake atleast warudishe hata pesa kidogo waliomnunua kuliko kuondoka Free kama Rabiot next summer ni hasara.Chiesa ameambiwa
"You are not part of the project"
Hawakumpa contract renewal yeye na wengine akiwemo Wojciech. Na ripoti ilisema wote wamevunjiwa, kama una ukweli zaidi ya huo badala ya kunishutumu ungekaa nao tu kwakua nyinyi ndiyo mnamtaka
Na kipa ni mmoja tu nae yakimkuta ndo habari imeisha. Jesus + Tomi pancha kama kawa.Kaumia bega atakuwe nje kwa week kadhaa
Itabidi apandishwe kipa wa Academy ikiwa hiyo hahahahaNa kipa ni mmoja tu nae yakimkuta ndo habari imeisha. Jesus + Tomi pancha kama kawa.