Arsenal (The Gunners) | Special Thread

GENGE LA MATUMAINI HEWA:
Hapa ndipo kisima cha false hopes karibuni wote .
Kuna jamaa hapo juu anakuambia martineli amekaa pembeni ya merino kutengeneza bond yaani gabi atafufuka na kutikisa😂😂😂. Hii false hope tamu kweli kuisikia inabidi mkorea tukupe u chairman sasa wa false hope rasmi.
 
Mnashika nafasi ya ngapi mkuu
 
Arteta kwa Kai humwambii kitu. Mpaka sasa hana mpango wa kununua striker.
 
Kama tukipata striker mpya,
Kai kuna rangi ataanza kuiona kutoka technical bench
Hakuna striker anayekuja hapa. Hii timu ni kichekesho.

Tunahadithiana ubingwa, Bado tupo na kina Nelson!

Striker/Winger muda huu alitakiwa kuwa yupo Sobha Realty anapasha misuli na wenzake. Sio kuulizana tunamsajili nani.
 
jamaa kazingua kinoma eti amekaa pembeni ya merino ni swala technical huku kuna mashabiki hoyahoya sana wanajiandikia tuu, ukisoma unaweza fikiri ni story za darasa la tano
 
Hapana sio hivyo.

Mchezaji ambaye tungempata toka Juve angekua hatari ni Kulusevski
Kwangu mimi namuona Chiesa ni mtu zaidi unaweza kumtumia popote pale kwenye safu ya mbele 7,8,10,11,9 ni mtu hatari sana Liverpool wapo siriasi sana bonge ya mchezaji wamepata. Speed, skillful, work rate, energy striking. Ukiwa na mtu kama huyu huna haja ya Martinelli kwenye ile winga
 
Tulieni mtafikiwa tu. Muwe wavumilivu
 
Hakuna striker anayekuja hapa. Hii timu ni kichekesho.

Tunahadithiana ubingwa, Bado tupo na kina Nelson!

Striker/Winger muda huu alitakiwa kuwa yupo Sobha Realty anapasha misuli na wenzake. Sio kuulizana tunamsajili nani.
Acheni ujuaji . Wee unajua kuliko Arteta😅
 
jamaa kazingua kinoma eti amekaa pembeni ya merino ni swala technical huku kuna mashabiki hoyahoya sana wanajiandikia tuu, ukisoma unaweza fikiri ni story za darasa la tano
Hawa jina lao ni false hopers , kama ubingwa unaletwa kwa njia hiooo basi wana miaka mingine 30 ya false hopes.
Forward havertz ndo uchukue ubingwa si itakuwa dharau ya EPL hio😂
 
for sure Chiesa ni mnyama hasa
 
Usisahau ni mtu wa Injury sana tu
 
Tangu apate injury amekua siyo yule wa kipindi kile.

Juve kumvunjia mkataba siyo vipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…