Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni tatizo,timu haipo serious na ubingwa ni jambo la ajabu kweli
 
Ni kwli ndo maana na sisi tukawaachia mumchukue Mudryk braza🤠🤠...anaupiga mwingi sana....ila tutakutana tu siku sio nyingi....na usije ukala nyoya
Nakuhakikishia siku tukikutana na ninyi , huu uzi wenu mtaukimbia , tutawabonda kwa hasira na malipizi ya visasi makubwa .
Kile kipigo cha mbwa koko alichopata wolves kitawakumba na ninyi , kiufupi round hii hamtoki salama mkikutana na Chelsea
 
sijakuelewa kwa sababu hujajibu swali langu direct
kwenye usajili arsenal tupo very slow
ni kama tunaenda kwa kupapasapapasa
dili la 31.5m linachukua miezi miwili kweli bro???
Angalia wapinzani wetu city wakitaka mchezaji how fast they get him
Cheki douglaz ruiz alivyoenda juve easily.....

Now tuna tatizo la RW na Striker na watu hawana habari yaani this is our season we must win the league
 
Yani una striker Kai halafu hutumii nguvu kabisa kutafuta striker ni hatari sana, Gesus hua simhesabu yeye mechi zake 3 anakaa nje mwezi, akirudi anacheza 4 anakaa nje wiki tatu. Kuna namna hatuko siriasi.

Arsenal hii Odegaard na Saka wakikosekana unashika kichwa
 
Yaani ni kwamba hili deal limechukua muda kwakua structure ya malipo ndiyo ilikua ishu.

Halafu kitu kingine chief ni kwamba City, Chelsea, United sifa kubwa ni mishahara ya juu. Hii sifa Liva anaifuata polepole.

Ndiyo sababu wachezaji wengi wanaokuja Arsenal utasikia wakisema ilikua ndoto yao kuja Arsenal. Kwahiyo kwao kuhama pesa haikua factor ya msingi.

Juve wamemtaka Calafiori akawakataa kaja Arsenal, Merino katakwa na Barca, Liver kawakataa kaja Arsenal. Kuna dogo anaitwa Chido alikua academy anascore mno dogo Arsenal tumempa mkataba mshahara 16K ambacho ni kiasi cha mwisho kikubwa kumpa academy kwetu.

United wakampa dogo 30K dogo kasepa. So kuna structure hatuwezi kuzivunja ili tu kuendana na wapinzani.
Nico ni mzuri Barca wameshindwa kumsajili, Chelsea wanaburuzana na Victor hadi leo.

Na RW na ST tunahitaji tangu misimu miwili nyuma, hapa sasa usiseme kwamba tupo slow kwakua hakuna ST wala RW tuliyemfuata tukashindwana naye. Hapa sema hatujui priority au Arteta anatafuta kichaka kwamba akifeli sababu iwe ni hana ST wala RW.
 
K
Kuna viumbe wana bahati hapa dunuani.
 
Rambo,
ni good short stopper ukimlinganisha na raya,
Ila ana footwork ya kawaida na sio mbaya.
Kifupi naamini huyu alikuwa ni kama bulldozer ametengeneza barabara na sasa inaonekana akipita juu yake anaharibu.
Martinell ajifunze na kai ajifunze pia.wasipobadilika wataachwa muda ambao hawaamini
 
Mimi bado nna maswali sana na perfomance ya orde kama RCM hasa kwenye mech ngumu na muhimu ambazo tunahitaji matokeo

Nafikiri hiki nachokiona uenda arteta au watu walio karibu nae watakuwa wanakiona.huyu mtu ni either aboreshe game yake kwenye game muhimu au atafutiwe mbadala
 
What if ni system nzima inacollapse?
 
Shot stopping ya Ramsdale ni debatable.

Shot stopper ambaye kuzuia penati kwake ni janga siyo shot stopper.

Leno good shot stopper but weak footwork compared to Ramsdale.

Ramsdale weak shot stopper and weak footwork compared to Raya
 
What if ni system nzima inacollapse?
Ni kweli ila angalau huwa kuna uhai kwa baadhi ya maeneo mengine na wachezaji wengine.
System?ni kweli kuna muda ina collapse katika baadhi ya mechi na hapa ndo muda ubahitaji individual brilliance kupata matokeo na hiki ndo almost kinatunyima ubingwa kila mwaka.
Ode sio mbaya ila anatakiwa kustep up game yake hasa kwa position anayocheza na kwa majukumu yake kama captain
 
Shot stopping ya Ramsdale ni debatable.

Shot stopper ambaye kuzuia penati kwake ni janga siyo shot stopper.

Leno good shot stopper but weak footwork compared to Ramsdale.

Ramsdale weak shot stopper and weak footwork compared to Raya
Daah dunia haiko fair kabisa.
Hii inanikumbusha kauli ya CEO wa nokia siku wanauza kampuni kwa Microsoft
"We did nothing wrong"ila muda huo apple na sumsung washawatupa mbali
 
Wakati Arsenal tunamchukua Ramsdale tulitakiwa kulipa % husika kwa timu aliyotoka kama tungelipwa kiasi zaidi ya 19M

Arsenal imefanya ujanja isilipe hiyo %
Arsenal kwa kujikuta akili nyingi, hapa wamefanya ujanja, ila kwa SUAREZ tulifanyaga ujanja ujinga, tukamkosa kiwendawazimu kabisa.
 
Sio kwa huyu kiazi KAI, arteta anampendelea unaweza kusema ni mtoto wa mchepuko wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…