Mkiingia kwa kujiamini hivyo mtaoga magoli shauri zenu, waulizen wolvs.Zoeaneni mapema kabla hatujakutana....habari za kuja kusema Fulani hakuwepo ndo maana tumewafunga hatutaki kuzisikia majirani🤠🤠🤠....jikazeni tukikutana mpunguze idadi ya magoli maana safari hii hata draw hampati
Mlikutana pipa na mfuniko shehe🤠🤠🤠....timu katikati unapita bila kuzuiwa...mje mcheze vile na sisi muone zile Tano kama hazijajirudia....sasahvi ukikutana na sisi tunakulazimisha ucheze vile tunavyotaka sisi...hyu kipara wenu mtamtukana siku hyoMkiingia kwa kujiamini hivyo mtaoga magoli shauri zenu, waulizen wolvs.
Hamna timu ya kutishia watu nyieMkiingia kwa kujiamini hivyo mtaoga magoli shauri zenu, waulizen wolvs.
Hamna timu hiyo nyie kondoo, juzi yenyewe mumshukuru sana raya bila hivyo Aston Vila walikua wanawanyoa kwa chupa.Mlikutana pipa na mfuniko shehe🤠🤠🤠....timu katikati unapita bila kuzuiwa...mje mcheze vile na sisi muone zile Tano kama hazijajirudia....sasahvi ukikutana na sisi tunakulazimisha ucheze vile tunavyotaka sisi...hyu kipara wenu mtamtukana siku hyo
Timu yoyote ikicheza na Arsenal inafocus na kupark bus.Nyie viazi wolvs mlishinda vigoli viwili kwa tabu, sisi wanaume wenu tumewasokomeza sita
Tafuta uzi wa Spurs. Hao ndiyo hawana makombeTimu isiyo na makombe
Hamjambo?
Uzuri wake huwa mnakuwa na mikwara mingi sana kabla ya kukutana ila tukishakutana tu mpira ukiisha unakula nyoya🤠🤠....Sasa hii comment naihifadhi....siku ya tukio hata usipoonekana hmu majukwaani hakyanani ntakufata PM...mashabiki wa Chelkenge mna ulofa Fulani hivi....mara ya mwsho kutufunga ni miaka sijui 70 ilopita huko halafu unakuja hapa kutupigia kelele....unatakiwa uanze kukaa kimya mapema....ile forward line yenu na beki yenu bdo sana kwa level zetu....mtawafunga hao kina Ipswich ila mkikutana na sisi hakyanani mkipata hata short on target tatu tu unitafuteHamna timu hiyo nyie kondoo, juzi yenyewe mumshukuru sana raya bila hivyo Aston Vila walikua wanawanyoa kwa chupa.
Chelsea ya mashavu tu iliwatoa jasho, je chelsea hii ya moto,ya sita sita.
Yaani wachezaji wenu hao wamafungu akina odergard, wakaifunge hii chelsea ya sita sita, seriously. Na mimi naitunza hii.Uzuri wake huwa mnakuwa na mikwara mingi sana kabla ya kukutana ila tukishakutana tu mpira ukiisha unakula nyoya🤠🤠....Sasa hii comment naihifadhi....siku ya tukio hata usipoonekana hmu majukwaani hakyanani ntakufata PM...mashabiki wa Chelkenge mna ulofa Fulani hivi....mara ya mwsho kutufunga ni miaka sijui 70 ilopita huko halafu unakuja hapa kutupigia kelele....unatakiwa uanze kukaa kimya mapema....ile forward line yenu na beki yenu bdo sana kwa level zetu....mtawafunga hao kina Ipswich ila mkikutana na sisi hakyanani mkipata hata short on target tatu tu unitafute
La kwenu la mwisho kupata ilikuwa mwaka gani?Tafuta uzi wa Spurs. Hao ndiyo hawana makombe
Mmasemaga hivihivi halafu mnaishia kusindikiza😂Arsenal tuko vizuri na msimu huu ndio tunabeba sasa ndoo
Chelsea imepigwa mpaka ikapigika una nini cha kutamba, nyie mmeanzia mlipoishia kuelekea nafasi ya 15Yaani wachezaji wenu hao wamafungu akina odergard, wakaifunge hii chelsea ya sita sita, seriously. Na mimi naitunza hii.
Mwaka janaLa kwenu la mwisho kupata ilikuwa mwaka gani?
Ni kwli ndo maana na sisi tukawaachia mumchukue Mudryk braza🤠🤠...anaupiga mwingi sana....ila tutakutana tu siku sio nyingi....na usije ukala nyoyaKwani nani alikuwa man of the match?. Yaan nyie maneno meengiii mtafikiri mna kikosi kumbe wachezaji mnaowategemea ni akina Odergard dah! mchezaji aliyeachwa na Mardid. Mpaka mardid anakuachia mchezaji hujiulizi.
Partey kagoma kuondoka...kasema anaona bdo ana kama miaka 3 mbele ya kucheza pale hata kama bila malipo Ili afidie kipindi ambacho alikuwa majeruhi....aisee kwakwli Manunu...Chelkenge na livakuku wasilete timu uwanjani....watadhalilikA....Man City mwaka huu hawatapata on target hata moja tukicheza naoIshara sio nzuri kwa kila aliye mbele yetu