Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyumbu alisuluhu na Academy ya City kwenye community shield. Upuuzi wanaofanya leo siyo bahati mbaya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao ni wazee wa false hopes huwezi badilisha mindset zao.
Mkuu Castr Joshua Zirkzee umemuona lakini?
Haaland ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa teka la boli Jay-Z.
 
Kwa jana aliyecheza vizuri ni Amad na Lisandro.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hio ina maana hata Mazarau (Mazraoui) jana haukumuona jinsi alivyokua anakichafua?
 
Hua tunasema nyumbu hawajui mpira kila msimu wanathibitisha.

Jana wameshinda 1 wanaongoza ligi.

Wanaanza kutamba kwamba it's cold.

Hawajui kua mechi zingine zinachezwa leo na watu watafungana magoli mengi
 
Hua tunasema nyumbu hawajui mpira kila msimu wanathibitisha.

Jana wameshinda 1 wanaongoza ligi.

Wanaanza kutamba kwamba it's cold.

Hawajui kua mechi zingine zinachezwa leo na watu watafungana magoli mengi
mnaojua mpira mmebeba nini last season?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…