Zubimendi anaringa sanaNi sahihi kazi na umri, basi tubebe zubimendi aje kuziba nafasi ya partey.. Na merino dili libaki pale pale, kuna umuhimu wa kuwa na kikosi kipana chenye wachezaji bora. .
Kama ana maringo na timu hatufai, mchezaji hapaswi kubembelezwa sana.. Asije akajiona yeye special sana.Zubimendi anaringa sana
Watakuwa wanacheza carabao na FAWadau wanasema partey amekua mzito hasa kwenye ball recovery na interception
Lazima tukubali, mpira unaendana na umri. Ni muda mzuri Sasa wa kumuaechia partey
Mkuu na mm imeniletea huu ufala aisee....hivi hamna app nyingine ya kuchekia boli...maana Hawa waarabu wamekuwa wanaringa sana sikuhzi...jmni msaada baadae tuone namna Manunu wanavyodundwaWakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Bei rafiki sana hii. Kama kweli mwamba anakuja.| Arsenal have agreed a fee of £17million with Sociedad for the transfer of Mikel Merino.
[As Per, @ConMarbleHalls]
View attachment 3065785
Ingia settings za hiyo app, nenda ka clear data zote. Jalib hiliWakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Wanazingua sana, yaani wamesubiri mpaka siku ligi inakaribia kuanza ndio wanatuletea huu ufwala wao, yaani kwa hii alosto ya Epl tuliyonayo halafu wanatuletea maringo.Mkuu na mm imeniletea huu ufala aisee....hivi hamna app nyingine ya kuchekia boli...maana Hawa waarabu wamekuwa wanaringa sana sikuhzi...jmni msaada baadae tuone namna Manunu wanavyodundwa
Mkuu hivyo vyote nimefanya lakini hamna kitu, hawa waarabu wana ujinga mwingi sana, wanajua kabisa kipindi hiki alosto ya ligi ipo high halafu wao ndio wanatuletea maringo, yaani hawa wapuuzi hawana tofauti yoyote na wale mademu wanaoletaga maringo kipindi cha masika.Ingia settings za hiyo app, nenda ka clear data zote. Jalib hili
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale Londonkwani we shabiki wa timu gani?
🤣🤣🤣...tuimbe haleluya kwa beki ya Disasi na Badiashile....yaani katika timu ambayo siihesabii msimu huu ni kile kigenge chenu cha wahuni....mmekusanya group la wachezaji machachari ila hawana ufanisi wwteMimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
livesports 808 ndio nimetumia kuchekia game ya man utd vs city leoWanazingua sana, yaani wamesubiri mpaka siku ligi inakaribia kuanza ndio wanatuletea huu ufwala wao, yaani kwa hii alosto ya Epl tuliyonayo halafu wanatuletea maringo.
Hebu fatilia kama kuna uwezekano wa kupata App nyingine ya kuangalia mpira ukiipata usisaha kunijulisha.
Watoto wa darajani huwa mnasumbua sana kwa maneno.Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
Tumia football Live TV hdWakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Kumbe timu yakina muha, chelwowo cheltako, mshalud default mode nyie,Mimi ni shabiki wa mabingwa pekee wa kombe la UEFA mara mbili London , mabingwa wa mwisho kubeba kombe la Epl london , mabingwa pekee kombe la club bingwa duniani pale London na club tajiri zaidi na yenye mtonyo wakutosha pale London
Mkikutana na Sisi msimu huu mtaimba haleluya
Hii ni apk aulivesports 808 ndio nimetumia kuchekia game ya man utd vs city leo
ipo makini sana