Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwanangu flano huwa unatusagia kunguni kinoma
 
Tumeshapata 90% ya here we go from Fabrizio Romano kwa Calafiori leo hii🤠🤠....Manyumbu yamesajili kale kapemba kanaitwa sijui Yoro sijui Yono auction Mart...bado sijalipata jina lake vzuri....mwaka jana tulifungwa goli chache....mwaka huu mwsho kufungwa goli 10🤠🤠🤠....Manunu yana point 6 zetu...Chelsea Wana points 6 zetu na magoli 10 watatuchangia....Man City Wana points 4 tena zetu...Liverkuku Wana points 6 zetu.....beki ya Timber, Saliba,Gabriel na Calafiori mbele Yao Partey na Rice goli linatokea wapi🤠🤠...Arteta kasema Partey hakuna kuondoka....sijui wale jamaa marafiki sana....atupe msimu mmoja bila majeruhi makubwa Ili hzi dharau za kutoka kwa kina Flano ziishe
 
Wanamuita young nesta
 
Nitoe angalizo mechi pekee city anaweza fungwa ni ambayo Rodri achezi labda team yako ishinde kwa changamoto ya mikwaju ya penalty tu.SIARUDII NIKISEMA NIMESEMA
 
Nitoe angalizo mechi pekee city anaweza fungwa ni ambayo Rodri achezi labda team yako ishinde kwa changamoto ya mikwaju ya penalty tu.SIARUDII NIKISEMA NIMESEMA
Wale wajinga tu....mwaka jana tumewafunga bila Rodri....mwaka huu tutawadunda na hyo Rodri wao akiwa ndani....
 
Pariteyi efuusiii aka wali efusii aka Arsenyetoz efusii aka Wenger orphans efusii aka false hopers efusiii aka supa kompyuta efusii aka asenyani efusii
Msimu huu mtajuta kuingiza hicho kikundi chenu cha wanenguaji uwanjani .
Aisee mtabondwa kisasa sawa . Ile asenane inarudi mwaka huu .
 
Wale wajinga tu....mwaka jana tumewafunga bila Rodri....mwaka huu tutawadunda na hyo Rodri wao akiwa ndani....
Rodri na kdb waakiwa uwanjani team yenu yote mnageuka mabeki mlivyofanya second leg mtawafunga vipi ?
 
Dirisha bdo lipo wazi mkuu....sajilini watu wa kueleweka aisee....mkizembea tena mwaka huu sio Tano mtakula Bali ni kumi...mnaona kama masihara nnachosema ila ntakuja kuwakumbusha siku hyo nilichowaambia leo
 
Rodri na kdb waakiwa uwanjani team yenu yote mnageuka mabeki mlivyofanya second leg mtawafunga vipi ?
Uzuri siku zinasogea....sisi sio milima tutakutana🤠🤠....habari za Hawa mabwnaa kututambia tena zimeshaisha....sasahivi ni kupishana na kuwekeana vigingi....dk 90 zikiisha tunaangalia pale juu ubao unasomaje...ize tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…