Kama hujajifunza hii EURO kuwa PALMA anastahili kuanza mbele ya huyo kiazi, ukapimwe mkojo. Fainali tu yenyewe ni case study nzuri.Hakujawahi, na hakutowahi kutokea USHABIKI WA KIDUANZI, kama kutaja KONATE AANZE FRANCE MBELE YA SALIBA
Hakuna uduanzi mkubwa kama kutaka one of top three right winger, BUKAYO SAKA arudi namba tatu ili kumu accommodate PALMER.
Kama bado hujioni ni chizi kumfananisha Rodri na Rice. Huwezi kuwa sawa.Kuna vitu wanaandikaga wadau humu, kwa haraka haraka unaweza sema wanaandika kisoka. Kumbe, ni katika harakati zao za kuichafua Arsenal
Mdau aliandika hivi kwenye uzi wa EURO 2024
View attachment 3041706
Ukipiga jicho la haraka haraka, kama kweli vile. Lakini ukitulia, inakuja kugundua lengo ni kumponda Rice, hence Arsenal.England chini ya kiungo "MBOVU" Rice wamefanya haya
2019 UEFA NATIONAL LEAGUE: 3RT PLACE
2021 EURO, FAINALI
2022 ROBO FAINALI
2024 EURO, FAINALI
View attachment 3041710
Cole Palmer any second any minute any hour any day any week any yearCole palmar or foden
Cole palmer usimfananishe na ujinga mkuu. Palmer wa kuwekwa benchi na Foden/Saka???Cole palmar or foden
NARUDIA TENA HAKUNA TIMU YA TAIFA ITASHINDA KOMBE LOLOTE KAMA KWENYE FIRST ELEVEN YAKE KUNA MCHEZAJI WA ARSENALI
Sawa tusubiri uanze.Ninyi Kenge mnaona vijana wetu ,Palmer na Cucurela walivyowasha moto fainali ya Euro leo ?
Subirini msimu uanze ,tunatembea mbata huu msimu mpaka mtutambue vizuri
Safi ankole, umeongea nondo sana hakika wewe kweri shabiki la gunnersMwamba anavyoandika kwa uchungu, kana kwamba ana nia nzuri na Arsenal. Sisi sote tunaijua Arsenal yetu ilipotoka, na ilipo sasa hivi. Kelele zote hizi ni kwa sababu wanaogopa kinachokuja kuwatuka misimu ijayo.Yes, kinachokuja kuwakuta.
Klopp, anapewa Liverpool October ya 2015, iliyomaliza nafasi ya 6 msimu wa nyuma na kwenda Europa League. Klopp anawapeleka Liver fainali, na kushika nafasi ya 8 EPL. NO TITLES
Misimu wa pili wa Klopp, 2016/2017, anashika nafasi ya 4 EPL, timu inaenda UEFA CHAMPIONS LEAGEA KWA MARA YA PILI NDANI YA MIAKA SABA. Yani from mwaka 2009 mpaka 2017, Liverpool imeshiriki UCL mara Moja tuu, msimu wa 2013/2014. Klopp anawapeleka kwa mara ya pili 2017/18. NO TITLES
Msimu wa tatu wa Klopp, 2017/2018, NO TITLES
Anaanza kupata mafanikio msimu wa nne, 2018/19
Huyu Klopp tunayemzungumzia hapa, ni experienced coach wakati anakuja Liverpool, tofauti na Arteta ambaye ndio timu yake ya kwanza kuimanage.
Mwaka 2019, December, Arsenal wanamchagua Arteta kuwa kocha.
Msimu wa kwanza, Dec 2019 to May 2020, FA CUP.
2020/21 COMMUNITY SHIELD
2021/22 NO TITLES, Huku timu inaendelea kujengwa
22/23, 2nd Place EPL (kwa timu ilipotoka, hii ni ishara mwelekeo wa timu ni mzuri)
23/24, COMMUNITY SHIEF, Timu inarudi UCL, 2nd Place EPL
Kwa akili iliyosalimika, ukiangalia hiyo safari ya Arteta, unaona kabisa Arteta kuna kitu kinakuja. Hiki kitu kinachokuja, akina FLANO na MKOHOTI wanahofia yasije yakawa kama ya Klopp, EPL na UCL. Hapa ndo msingi wa kelele zao unapoanzia
Hujaeahi kuandika point, shuba mitiKama hujajifunza hii EURO kuwa PALMA anastahili kuanza mbele ya huyo kiazi, ukapimwe mkojo. Fainali tu yenyewe ni case study nzuri.
Kwanza mna nux, wachazaji wenu kuwepo tu kikosi cha kwanza imesababsha england wamekosa ubingwa. Mmewaponza France, Italy,German.
Spain waliona mbali chezaji lenu namba moja limekula mkeka mwanzo mwisho.
Normal player, Badoo anajifunza.Ninyi Kenge mnaona vijana wetu ,Palmer na Cucurela walivyowasha moto fainali ya Euro leo ?
Subirini msimu uanze ,tunatembea mbata huu msimu mpaka mtutambue vizuri
hamiss77 naona kaja na ID mpya maana kila msimu anapiga domo hapa wakiaribu tu uyo na New ID😁😁Acha porojo nyingi miaka 6 ya huyo Tetea wenu kua kocha hakuna kombe lolote la maana alilowapea zaidi ya FA Corona Cup, yaani bila ya msaada wa Covid 19 mpaka muda huu huyo Tetea asingekua na kombe lolote mkono.
Ni matusi makubwa sana kujaribu kumfanisha huyo kilaza wenu na Jürgen Norbert Klopp aliebeba makombe yote kuanzia Premier League, Champions League, UEFA Super Cup, Fifa Club World Cup, FA cup na EFL Cups.
Kwa akili hizi za kina BJB FC sitashangaa huyo Tetea akafikisha miaka hata zaidi ya 10 hapo Arsenyo bila ya kombe lolote la maana halafu misukule ya humu ikiendelea kumtukuza na kumsifu huku wakiendelea kuzihadaa nafsi zao kwa kumpea majina matamu matamu kama vile Master Class, Tactician etc.
Ni bora kucheza pungufu kuliko kuwa na kiazi kai, labda ajiupgrade saanaHuwezi muacha timber kwenye xi ya gunnerz msimu ujao pia kai ataanzia benchi tunatk watu serious
Huyu mvunja kuni aende tu.Duuuh
Aston Villa wameweka more than £50m kumbeba Onana wa Everton
Ornstein na Fabrizio
Sio kwamba mnasubiria reject zaombona hawatuletei vyuma asee
naona kenge wanazidi kuleta marastaman kama kawaida yao
NARUDIA TENA HAKUNA TIMU YA TAIFA ITASHINDA KOMBE LOLOTE KAMA KWENYE FIRST ELEVEN YAKE KUNA MCHEZAJI WA ARSENALI
Huyu Mauno bado sana aisee, man u wakijichanganya wakamtegemea msimu ujao atawaingiza shimoni, mchezaji yupo slow sanaaa. Anapoozesha mashambulizi.Nawaona manyumbu huko kwenye mitandao mingine bado wanamuandama Saka kwamba eti yeye ndio aliyesababisha lile goli la pili kwa kumuachia mwanya cucurella akapiga ule mpira mrefu uliozaa goli.
Wanasahau kwamba Saka alikuwa na kazi kubwa sana ya kushambulia na muda huo huo kukaa karibu na Nico william kumsaidia Walker, maana Walker peke yake tu alionekana hamuwezi yule dogo, mbali na hivyo pia Saka alihusika kwenye build up ya goli walilopata England.
Halafu walivyokuwa wanafiki kuna hiki kitoto chao ambacho walikiimba sana baada ya kushine kwenye mechi mbili tu, mechi ya jana kilikuwa kina slow down mipira tu, pass karibu zote kilizopiga kwenda mbele hazikuzaa matunda kwa sababu ya timing mbovu... lakini hatuwaskii kabisa wakikiongelea jinsi kilivyo flop, wao wanakomaa na Saka tu.View attachment 3043451