Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi sitaki kuamini kwamba Xhaka huyu wa Euro, ni bora kuliko yule wa Euro 2020 ambapo Uswizi wanakufa kwenye matuta dhidi ya Spain, ROBO FAINALI

Ila, amekuwa mzuri machoni mwa watu, baada tu ya kuondoka ARSENAL

RICE, amekuwa mbaya machoni mwa mashabiki wa England na waandishi wa habari, akiwa amevaa jezi ya ARSENAL

Sio mchezaji, ni timu. It's fine that people hate us.Its part of our history
 
Nyie viaz mna kiungo mbovu kuwahi kutokea jojinyo.
Huyo kiungo mbovu, mlilipa £50m mwaka 2018 kumpata.

Kwa lugha nyepesi, mwaka 2024, a 26years old Jorginho angeicost Chelsea £100+m
 
Kwa makadirio ya £200±mil, we are favorite kwenye UCL na EPL 2024/2024



i/ VICTOR OSIMNHEM
~ £ 80 mil. Kocha mpya wa Napoli, Conte, few weeks ametaja wachezaji wake muhimu Kwa 24/25 na Osimnhem si mmoja wao. Na ukitoa release clause yake ( £ 120m, ana makubaliano na Napoli, timu ikifika £80m plus, auzwe



ii/ NIKO WILLIAMS
Hapa ndo kitonga kabisa, jamaa ana release clause ya £49m. Lipa beba mchezaji.



III/ JOSHUA KIMMICH
Amebakiza mwaka mmoja na wajerumani. Amekataa kusaini mkataba mpya. Option rahisi na ya kibiashara kwa Bayern, ni kumuuza. Umri and everything (29y) Bayern hawakatai £35m



iv/ RICARDO CALAFIORI
Kitasa haswaaa cha kiitalia.Only 22y LCB, LB. Doing AKE/GVARDIOL energy na TIMBER/MAGALHAES. Ukiweka £45m mezani, unabeba pia.

£(80+49+35+45)m inakuja kama £210m hapo. The second thing, wage ya wachezaji. Can't be issue kama tunataka kweli mafanikio
 
Usishangae siku Raya akaanza namba 6, golini akakaa Jesus

😀😀😀
 
Huyo kiungo mbovu, mlilipa £50m mwaka 2018 kumpata.

Kwa lugha nyepesi, mwaka 2024, a 26years old Jorginho angeicost Chelsea £100+m
100 kwa hiyo kiazi inayopga back pass hata Namungo hapati namba, hata kwa kiasi mlichotupa tuliwapga sana nyie vilaza.

Kama EURO haijawapa elimu kwamba mna wachezaji wa ainagani basi nyie mnahitaji maombi ya kiboko y wachawi. Kama Saka kaenda ujerumani kuzurura tu uwanjani.
 
Hadi tunaingia hatua ya robo fainali michuano ya euro 2024, ni mchezaji gani wa arsenal aliyefanya vizuri kulingana na mapambio waliyokuwa wanapewa humu ndani?

Mchele wenu anamtegea Kobbie. Asipokuwepo Kobbie, Mchele anapoteana vibaya mno.
 
Hadi tunaingia hatua ya robo fainali michuano ya euro 2024, ni mchezaji gani wa arsenal aliyefanya vizuri kulingana na mapambio waliyokuwa wanapewa humu ndani?

Mchele wenu anamtegea Kobbie. Asipokuwepo Kobbie, Mchele anapoteana vibaya mno.
Unaongea kama mtu aliyefyatukwa akili
 
Arsenal ina nini cha maana paka watu wakicheza hapo wachukiwe?
 
Fabrizio Romano

🚨🇮🇹 More on Riccardo Calafiori. Mikel Arteta approved Italian defender, part of 3 defender targets list.

Arsenal have also good relationship with Bologna after Tomiyasu deal; request is around €50m, still no formal bid.

🔵↪️ Chelsea would offer players as part of the deal.

 
Arsenal have AGREED personal terms with Riccardo Calafiori.


[@SportsZone__]
 

Attachments

  • 20240703_183933.jpg
    237 KB · Views: 19
Fabrizio Romano kashaanza kuipigia upatu Chelsea ili Bologna watuwekee ugumu kama ilivyokuwa kwa Mudryk, ngoja tuone.

Huyu dogo nishamuelewa japo sijamuona, muonekano wake km Nesta au Maldin au Canavarro, Kuna msemo unasema "Italians are born defenders"
 
Di Marzio: Riccardo Calafiori increasingly closer to joining Arsenal in a €50 million operation
 
Amewaambia Club yake asiposajiliwa na Arsenal anajinyonga, amesema anaipenda Arsenal kuliko anavyoipenda familia yake.
Player only want Arsenal.

Kauli kama hizi cjazisikia dirisha hili, wehu nyie.
Nawakumbusha tena kusajili mkuu...huwa unakuwa mwepesi sana kuingia mitini mkianza kula ndonga za uso🤠🤠..halafu ukirudi unaanza kumtukana kocha kama huwa unamsaidia kufundisha vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…