Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa ww na kubahatisha kwako fainali ile unamtambia nani....unaona kabisa City walipigwa misumari....TAfuteni wachezaji wa kueleweka msimu ukifikia mwshoni msidandie basi la City kuanza kutuwangia tena maana ndo kazi mnayoiweza hyo🤠🤠
 
Yatima wa Wenger trust the process.
 
Sasa ww na kubahatisha kwako fainali ile unamtambia nani....unaona kabisa City walipigwa misumari....TAfuteni wachezaji wa kueleweka msimu ukifikia mwshoni msidandie basi la City kuanza kutuwangia tena maana ndo kazi mnayoiweza hyo🤠🤠
Yatima wa Wenger trust the process
 
We play beautiful football sijui arteta akona best tactics ka mkona best tactics mbona mko trophyless 5years? nyinyi endeleeni kuromance ball shenzi sana 😂😂😂😂😂
 
mkuu man city haiwezi kushuka leo wala kesho sema ile tu ya uhakika wa makombe itapungua kiasi , before pep kaja mancini, pellergrini wote wamebeba ndoo.

Sheikh mansoor jamaa ni genius sio kama matajiri wengine wale wa PSG .
 
Yaani hapa kulikuwa na wehu wanamtaka madrid😂😂 yule mkuu wa kitengo cha false hope anakwambia wembley wanaenda kucheza akatuambia tusave kabisa post yake.

Madrid ana makombe ya UEFA mengi kuliko hata makombe ya team yao kwenye ligi lakini false hoper walikua wanapiga kelele madrid mbovu
 
Attachments

  • Screenshot_20240603-004333~2.png
    53.9 KB · Views: 16
Nyie kila msimu unaokuja ndio msimu wenu, then mnaishia kuangukia pua, hat msimu w jana mlisema msimu huu ndio msimu wenu, yako wapi!!

Nyie ni nina? Nyie ni False hopers
😂😂😂😂 yaani kila msimu kwao ni wao ikishafika game 38 unawaonea mpaka huruma.

arteta alivyokua anaongea sauti inavyotoka mpaka nikaona huruma asee😂😂 daah kweli arsenal ni false hope na kituko yaan game 5 to go uwe bingwa still unashindwa 😂😂 Leicester alikaza akachukua, sidhani kama pale epl kuna team ilishindwa kukaza zimebaki game 5.
 
Yule hapana....nimeshamuangalia sana uchezaji wake....ila Manunu atawafaa🤠🤠 na ile mipasi ya kubutua ya Bruno...kama nyny mkimpotezea....
Jamaa mna roho ngumu sana, bado mnapata ubavu wa kubishana na mabingwa wa FA wakati mmetoka kapa!
Lengo kuu la kushiriki ligi ni makombe kwanza halafu sexy football baadae.
 
Jamaa mna roho ngumu sana, bado mnapata ubavu wa kubishana na mabingwa wa FA wakati mmetoka kapa!
Lengo kuu la kushiriki ligi ni makombe kwanza halafu sexy football baadae.
Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana🤠🤠
 
Ni kwli watani wetu....ila msimu ujao hatutaki ikifika January muanze kumtukana 10 hag tena...maana nyny hamna fadhila kabisa....mkifungwa mechi kumi tu mnaanza kutukana
Mkuu arsenal2004 kwenye suala la kumtukana kocha kwa Man utd unatuonea, timu la matusi linajulikana na ushahidi upo mwingi sana wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…