Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arse8 good morning 😂😂😂
 

Attachments

  • IMG-20240521-WA0009.jpg
    41.6 KB · Views: 11
  • IMG-20240521-WA0009.jpg
    41.6 KB · Views: 8
Wasindikizaji FC katika ubora wenu

Hesabuni miaka mingine 20

 
Acha maneno mbofu mbofu. Tushirikiane tena kuanzia mwezi wa 8 kupambana na 115 FC na Kipara wao. Msitutelekeze tena bwana.
Hakuna ushirikiano kwenye kupata kombe😂😂😂
Juhudi zako ndizo zinazokupa kombe
 

Attachments

  • 20240226_120033 (1).jpg
    376.5 KB · Views: 11
Kati ya real Madrid na Dortmund nan akishinda UEFA atakuwa na feelings au emotional.........Madrid litakuwa kombe la 15 kiufupi Hakuna hata excitement Ni swala la kawaida hauwezi ona wanapayuka hovyo ...

Man city PL trophy sio kitu cha ajabu ,ishakuwa normal kabisa ,kombe tunanyanyua Kila mwaka ...Freeling na emotion Ni la mwaka 2012 na 2013 ....saizi it's normal
 
2012 hata wewe hukua unashabikia City.
 
2012 hata wewe hukua unashabikia City.
Kama sio man city nishabikie timu gani au unafikili mim nimeshabikia mpira Kwa kufuata mashati na kelele za mtaani ,mim nimeshabikia mpira Kwa kuangalia sio Kwa kurithi ....

Unajua haters kama nyie huwa nawashangaa ,mpaka mnatafuta quotation fake kuichafua city ,hadi huruma
Fake news ....fake everything...
 

Attachments

  • Screenshot_20240522-150458~2.png
    637 KB · Views: 8
Tumeanza hoja vizuri kufika kuambiwa hukua unashabikia hii timu umeanza kuita watu haters.

Ok sawa. Share picha ya 2012 mkiwa mnashabikia ubingwa ambayo itaonyesha mashabiki ni wengi kuzidi picha ya nyumbu au Arsenal wakiwa wameshijda kombe lolote
 
Tumeanza hoja vizuri kufika kuambiwa hukua unashabikia hii timu umeanza kuita watu haters.

Ok sawa. Share picha ya 2012 mkiwa mnashabikia ubingwa ambayo itaonyesha mashabiki ni wengi kuzidi picha ya nyumbu au Arsenal wakiwa wameshijda kombe lolote
Mim nafuata kile kitu moyo unapenda mkuu ,sishabikii timu Kwa kuangalia wingi WA mashabiki ,mim ndio natazama mpira kwenye tv kwanin nianze kupoteza muda kuanza kuangalia watu wanasema nin ,wakati macho yangu yanaona,,,

Tofuati ya mim na wewe Ni kuwa wewe unashabikia timu kwa kufuata upepo WA watu ,.....am sure wewe unashabikia timu kwa kufuata either brother zako ,mtaani au kundi gani kubwa la watu linashabikia ...tofauti na hapo uwe 46+yrs means uliona Arsenal ya Wenger tofauti na hapo itabidi usema umeanza shabikia Arsenal Kwa sababu gani ...

Mim nimeanza kuangalia mpira naanza form one 2011 ,maana ndio nilikuwa na access ya Kurudi hata nyumbani usiku Kwa kuangalia mpira ,means hapa utoto WA kuchungwa nyumbani ulikuwa umeisha ...

Timu iliyokuwa top Ni man city ,ndio ilikuwa inashinda almost weekend zote ,....Hiyo Arsenal ya Wenger sijawahi iona maisha yangu ...wala sijui man U ya furgson sikuwahi iona .......nazisikia tu zilikuwa hivi ........siwezi shabikia timu Kwa kusikiliza sijui Zaman ilikuwa hivi wakati nayoiona in real life Ni man city ..walioziona hizo timu wanafaaa kuwa mashabiki WA hizo timu na wako sahihi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…