Hiyo mentality ndio iliyowafanya mkose kombe, kwa maoni ya rodri, mentality ya kushinda kila mechi ndio inayoifanya timu kuwa bingwaHujamuelewa. Sisi hatukutaka kushinda dhidi yake kwake. Tuliona hiyo nguvu bado hatuna na tutajichosha sana. Sisi tulitaka kushinda ligi na mbinu ya kushinda ligi ilihusisha kuamua kutojichosha na City. Acha tutoe nae sare huku tukiwapiga wengine. Akijitokeza wa kumpiga City, yote kheri.
Hii mbinu aliitumia Mourinho na Madrid dhidi ya Barcelona na alifanikiwa. Sisi pia kidogo tu, hii mbinu ingezaa matunda.
Ndiko tunakoelekea.Hiyo mentality ndio iliyowafanya mkose kombe, kwa maoini ya rodri, mentality ya kushinda kila mechi ndio inayoifanya timu kuwa bingwa
Nkamu basi inatosha nipm kwanza πππWanangu eeeeh
Kama vipi tupooze koo na Fanta Orange
Una kaufala Fulani hiviπ€ π€ ...nipo sana hmu na Sasa tunaanza maandalizi ya fezi foo....I'm more confident than ever....makombe yananukia....mwakani EPL kipara Hana chake na yy kashanusa hatari ya Arteta....tupondeni ila mwezi wa nane tabu zitawarudiq upya....mtu yoyote mwenye namba ya ndugu yangu arsenal2004 tafadhali naomba ampigie simu na kumjulia hali yake pasi na kusahau kumpa maneno mawili matatu ya kumfariji, tokea nimepata taarifa za mashabiki wa Arsenyo huko Uganda kuanza kujitundika kwenye kamba sina raha kwa kweli.
Mkuu najaribu kuangalia forward tunaohusishwa nao kwakwli nachanganyikiwa...yule Sesko wa RB Salzburg ni Haaland mtupu...ila yle Gyokeres naye ni kifala...huku Zirkzee naye ni hatari...yaani inabidi tupate mtu hii midomo ya wapinzani tuikate mwakaniπ€ π€Ndiko tunakoelekea.
Nkamu hii timu hii yaani haifaiNkamu basi inatosha nipm kwanza πππ
Yaani Aseno ni nomaNkamu niwaaacheeeee πππ
Kuna mtu jana katoka kunicheka eti βArsenal km kichaa anaenda umbali mrefu halafu anarudi na makopoβ imebidi nchekee tyuuu!!!
Watu hawajui hatari tunayowaletea msimu ujao.Mkuu najaribu kuangalia forward tunaohusishwa nao kwakwli nachanganyikiwa...yule Sesko wa RB Salzburg ni Haaland mtupu...ila yle Gyokeres naye ni kifala...huku Zirkzee naye ni hatari...yaani inabidi tupate mtu hii midomo ya wapinzani tuikate mwakaniπ€ π€
Watu hawajui hatari tunayowaletea msimu ujao.
Kuna waliomaliza nafasi ya 8 huko ila wapo huku kutupigia kelele kisa hatujawa mabingwa. Hawa watu wananichekesha sana. Nasoma comments zao huku nacheka kwa dharrraauu (wanaocheza draft wanaujua huu msemo).
Sisi tunaenda kujipanga kuchota points 100 next season, huku wao wanawazia kumaliza na +ve GD japo 4 au 5. Wanawaza watadhindaje FA cup ili waingie ulaya. Sisi tunawaza tufanye nini tubebe treble.
Naona imagomaNkamu basi inatosha nipm kwanza πππ
π€£π€£π€£π€£π€£ HatareeeeNkamu hii timu hii yaani haifai
Malengo ndiyo hayo. Madanikio sifuri kwa sasa, ila kama kwenye maisha, tunasema 'one day yes'.Hata msimu huu mlisema hivihivi π
Unless wewe ni shabiki wa Manchester City, lakini kama ni shabiki wa hizi timu zingine ambazo Arsenal imemaliza juu yao... basi timu yako imejaza wachezaji viazi mbatata kama mlivyo mashabiki wake...Kwa hiyo nyie wajinga mlitaka kushinda Premier League mkiwa na kina Nketiah, Martineli, Kiwior,View attachment 2994316
Huyo Zirkzee ni Gaucho mtupu kwenye mwili wa MartinellMkuu najaribu kuangalia forward tunaohusishwa nao kwakwli nachanganyikiwa...yule Sesko wa RB Salzburg ni Haaland mtupu...ila yle Gyokeres naye ni kifala...huku Zirkzee naye ni hatari...yaani inabidi tupate mtu hii midomo ya wapinzani tuikate mwakaniπ€ π€