Yaani ukisikia hili neno "kondoo" basi akili yako inatakiwa kukutuma hilo neno lina maanisha mashabiki wa Arsenyetoz .
Yaani kuna kondoo sasa hivi anaamini Arsenyetoz inabeba ubingwa
Mimi nataka kuwa kinyume kidogo na wewe leo.
Yani inatakiwa iwe hivi shabiki wa Wenger orphans unatakiwa umbetie man city ashinde hafu uweke dau la maana kweli.
Ili ikitokea man city akashinda unaondoka na kibunda cha kwenda kupozq machungu ikitokea kapoteza unaondoka na furaha ya kombe😁😁
Kwaiyo leo Wenger orphans machaguo ni hayo tu weka million mpe city au usubirie maumivu ya bure bure