Mchezaji akitoka Ajax ligi ambayo dominant ni Ajax, Feyenoord na zingine mbili uwezekano wa kupigwa ni mkubwa.ARSENAL ina timu Nzuri sana ila haina WACHEZAJI wengi wazuri sana. Castr ARSENAL ilimuhitaji Mudryk ila ikaishia Mpata TROSSARD, Hajawa chaguo Baya na amekuwa na Mchango Mkubwa ila kama ARTETA angempata MUDRYK Yule Bwana angekuwa anaimbwa.
KUDUS ilikuwa Chaguo la kwanza kwa ARTETA. Stori yake ingefanana na MARTINELI. Leo hii MARTINELI anapambania Nafasi, SAKA amekuwa kama ana kura Turufu sababu hana Mpinzani wa kueleweka kwenye Nafasi yake.
Kama KUDUS angeenda ARSENAL angefanya Makubwa. AJAX wanacheza mpira wa kumiliki kwa hiyo isingempa Changamoto ARSENAL, Hapa ni kumpongeza namna ameweza ingia Poa timu inacheza tofauti kabisa na Alipotoka.
Vinahitajika vilabu angalau vitano vyenye consistency ya kipara.Niliwahi shauri kwa mzaha ila kuna ukweli ndani yake.
Makocha wa epl hasa top six wameshaonjeshwa uji wa moto wa kipara.
Hawa kina arteta na wenzake wakae chini wamwite kipara,wamshukuru kwa uwepo wake ndani ya ligi kwa miaka 8 kisha kwa heshima wamwambie apeleke kimbunga chake SERIE A au LA LIGA
Kipara mwenye enough fund source ataendelea kuinyanyasa ligi 😂😂😂
Ikishindikana wachangishane mkwanja wampe aende akale pensheni huko,jamaa na waarabu wake wanajua hadi wanakera
Hili ni jambo ambalo kila mtu analisubiri kwa hamu kubwaVinahitajika vilabu angalau vitano vyenye consistency ya kipara.
Kipara anaimarisha kikosi every season. Ananunua mchezaji 100M na hamtumii na wala siyo kesi kwakua timu inaleta matokeo mezani.
Nataka abaki hapo hapo kipindi hichi ambacho matumizi yanaanza kubanwa
We jamaa ni fala tabaka la juu kabisa. Mwenye mentality ya ubingwa ni Klopp au sio?Ili mchukue ubingwa mnahitaji kocha wa kueleweka mwenye mentality za ki utu uzima sio premature kama Arteta.
Tafuteni Attacking mid wa maana Odegaard anachangamsha kijiji tu.
Saka sio mchezaji wa kuwapa kombe la maana huyu anatakiwa kuwa bench warmer. Kwa kifupi nyie kenge mna world class mmoja tu Declan Rice wengine wote ni magarasa
Hiyo comment ya CASTR, kwamba KUDUS tungemkataa Emirates, niliisoma jana nikawa sijamuelewa kabisa. Umefafanua vizuri kilichopo kichwani mwangu.ARSENAL ina timu Nzuri sana ila haina WACHEZAJI wengi wazuri sana. Castr ARSENAL ilimuhitaji Mudryk ila ikaishia Mpata TROSSARD, Hajawa chaguo Baya na amekuwa na Mchango Mkubwa ila kama ARTETA angempata MUDRYK Yule Bwana angekuwa anaimbwa.
KUDUS ilikuwa Chaguo la kwanza kwa ARTETA. Stori yake ingefanana na MARTINELI. Leo hii MARTINELI anapambania Nafasi, SAKA amekuwa kama ana kura Turufu sababu hana Mpinzani wa kueleweka kwenye Nafasi yake.
Kama KUDUS angeenda ARSENAL angefanya Makubwa. AJAX wanacheza mpira wa kumiliki kwa hiyo isingempa Changamoto ARSENAL, Hapa ni kumpongeza namna ameweza ingia Poa timu inacheza tofauti kabisa na Alipotoka.
Ili kuwakomesha nyie kenge leo Liverpool tunauza mechi. Tunamuuzia Aston villa ili afuzu uefa. Maana yake automatically spurs atakuwa hana nafasi ya kumaliza TOPUFO kwa hiyo ili kuwakomoa na yeye kesho atauza mechi. Kenge wakubwa nyie.
Naamini ataadopt fasta na kuonesha ubora zaidi ya saka.Kudus akija Arsenal tutamkataa.
Kudus anacheza timu ambayo inategemea sana long balls na kuzishambulia spaces za mpinzani. Ambazo hizi unazipata kama mpinzani anakukaba kwa high pressing au hakufanyii low block.
Arsenal tunafanyiwa sana low block, Kudus akija itabidi aadopt kucheza kama Saka au asubiri game ambayo itaonekana transition na counter zitaleta majibu.
Muone Grealish akiwa Villa. City wakalipa 100M ila jamaa hakuscore karibia msimu mzima. Na akicheza huoni impact, nafikiri ndiyo maana Doku pia anakaa bench kwa sababu kama hizi.
ARSENAL ni TIMU NZURI SANA ila haina Wachezaji Wengi wazuri sana. Mchango wa Mchezaji ndo Unapelekea kutengeneza timu Nzuri! Unaona kikosi cha ARTETA Ni wachache sana wanaweza kuwa STARTERS katika timu zao za TAIFA hasa Mataifa makubwa Kisoka.Mchezaji akitoka Ajax ligi ambayo dominant ni Ajax, Feyenoord na zingine mbili uwezekano wa kupigwa ni mkubwa.
Antony na Malacia ni mfano wa haraka kwa nyinyi United.
Nionyeshe wachezaji wabaya wa Arsenal ambao kwa Arsenal ni starters na unaamini hawana mchango wowote
Unahisi Arsenal inamhitaji Kudus kuliko United?ARSENAL ni TIMU NZURI SANA ila haina Wachezaji Wengi wazuri sana. Mchango wa Mchezaji ndo Unapelekea kutengeneza timu Nzuri! Unaona kikosi cha ARTETA Ni wachache sana wanaweza kuwa STARTERS katika timu zao za TAIFA hasa Mataifa makubwa Kisoka.
Nadhani umemaanisha Ligi ya Uholanzi, UTD & ARSENAL Ni wanufaika wakubwa toka Hii ligi. Mchezaji kupigwa ni Suala la Mifumuko ya Bei na Kukosa watu Makini wa Mpira.
Hoja ni KUDUS, Kama ARSENAL Ingempata Hali ya SAKA Ingekuwa kama Martinelli na Trossard. Wachezaji wa Kiingereza wako na Tabia ya Kujisikia wasipopata Ushindani na SAKA + PALMER wameshaingia kwenye kundi hilo.
Spurs Striker wao wote wajeruhi. Mmesikia nyie mashabiki wa spurs
Miaka 20 hamna epl hivi hamna hata mshipa wa aibu?Huyo kuku hapo juu tangu upepo wao ukate amehamia kwenye kupiga ramli tu
Kutoka quadruple to Energy drink parade