Ollashoga mama la mamaH
ahahahahahaha saivi munaishi kwa matumaini😂😂😂😂
Naangalia mazoezi ya mancity hapa wanajiandaa na game jumanne sijui wanacheza na nani lakini mazoezi makali sana. Rodri amekimbia kilimota 50.
Nawashauri msitarajie chochote
Naangalia mazoezi ya mancity hapa wanajiandaa na game jumanne sijui wanacheza na nani lakini mazoezi makali sana. Rodri amekimbia kilimota 50.
Nawashauri msitarajie chochote
Kwa Man Utd hii iliyojichokea ya beki John Evans na Casemiro tena bila ya uwepo wa Engine ya team Captain Bruno Fernandez niliamini kabisa leo Arsenyo bila ya kikwazo chochote anaenda kurudisha zile goli 8 tulizomgonga mwaka 2011, kitu cha kushangaza kabisa eti United pamoja na kufungwa kagoli kamoja eti ndio imedominate game.
United hii iliyojichokea inayogongwa mpaka na kina Crystal Palace 4 - 0 halafu shabiki wa Arsenyau anajisifu kabisa kuifunga goli moja, kikubwa mmejipatia points3 za bure hongereni kwa hilo endeleeni tu kujipea false hopes kwenye game 2 zilizobaki za City huku pia msisahau kutuombea tufungwe kwenye fainali ya FA
Ila na msimu tukibahatika tena kubeba kombe halafu Arsenyo mkatoka mikono mitupu mtafute kabisa sayari ya kwenda kujifichaView attachment 2988908
Vocha sisi hatutaki tunachotaka sisi ni nyie mkose kombe tu hamis aendelee kujificha huko huko vichakani🤣🤣Wakuu Flano na allypipi heshima zenu
Kwaniaba ya wadau wa Jukwaa hili, tunawashukuru sana Kwa kuwa nasi kwenye vipindi vyote tulivyopitia hadi leo kucheza mechi yetu ya 37 huku tukijikusanyia alama 86.
Hizi ni alama nyingi uki-compare na alama 84 tulizokusanya Mwaka Jana
Kama Mungu akipenda tunaweza kuchukua Ubingwa Mwaka huu iwapo mpinzani wetu Man City atapoteza Kwa Spurs Jumanne.
Arteta ameonesha anakitu, hivyo iwapo ataendelea kuaminiwa na kupewa muda zaidi huenda akaja kutupatia Ubingwa Siku za hivi karibuni.
Endeleeni kutuombea ndoto yetu itimie
Iwapo tutafanikiwa kushinda Ubingwa nawahaidi kuwapatia Vocha za 10k Kila mmoja katika kusherehekea Ubingwa
COYGs 💪💪💪💪
Yaani sisi tutafute pa kujificha kisa hatujawapiga kono la nyani? Nyie huenda FA cup ndiyo njia pekee ya kuingia mashindano ya Ulaya. Bila hivyo nafasi ya 8 inawahusu. Halafu eti sisi tukajifiche.
Mnajisifu kuwafunga goli 1 United isiyokuwa na CB na AM ya McTalantaless!
Nawaombea mbebe ndoo msimu huu maana baada ya hapa hata europa hamtagusa tena.
Narudia kusema tena, huu ulikuwa upepo kama wa leicester city na ndio umepita hivyo.
Msimu ujao mnamaliza wa 15 hakyanani🤠🤠...kama mentality ya timu yenu ndo hii kwmba mmetufunga ila wachezaji Fulani hawakuwepo hakyanani mna Hali ngumu huko mbele....labda muuze kikosi kizima kitu ambacho hakiwezekani....tabu ipo palepaleKwa Man Utd hii iliyojichokea ya beki John Evans na Casemiro tena bila ya uwepo wa Engine ya team Captain Bruno Fernandez niliamini kabisa leo Arsenyo bila ya kikwazo chochote anaenda kurudisha zile goli 8 tulizomgonga mwaka 2011, kitu cha kushangaza kabisa eti United pamoja na kufungwa kagoli kamoja eti ndio imedominate game.
United hii iliyojichokea inayogongwa mpaka na kina Crystal Palace 4 - 0 halafu shabiki wa Arsenyau anajisifu kabisa kuifunga goli moja, kikubwa mmejipatia points3 za bure hongereni kwa hilo endeleeni tu kujipea false hopes kwenye game 2 zilizobaki za City huku pia msisahau kutuombea tufungwe kwenye fainali ya FA
Ila na msimu tukibahatika tena kubeba kombe halafu Arsenyo mkatoka mikono mitupu mtafute kabisa sayari ya kwenda kujifichaView attachment 2988908
Nakubaliana na wewe, Partey jana alikuwa below Average, so is Saka. Ollise asingekuwa na injuries, ningeshauri aje kumpa challenge SakaSaka amechoka,anahitaji msaada wa a strong back up,tena awe ana style tofauti na ya saka
Tunahitaji namba sita mwingine partey na jorginho hawaaminiki
Tunahitaji mbadala wa odegard,a driving typical RCM with pace,dribbling skills,passer,long short merchant,physically tough,awe ni holder wa mpira haswahaswa na mwisho na muhimu mno awe na atributes za ulinzi.ode kuna muda anapwaya na anakata pumzi
Tunahitaji sriker wa magoli,awe na attributes kidogo za link up play ila alijue goli vizuri na ningependa awe awe above 25
Tunahitaji legend mmoja wa invisible au mwingine yoyote akae bench la ufundi na awajenge madogo kwenye mech za tension kubwa na ndo maana timu imesita kumuacha jorgy
Hahaha............tafadhali tuombeeni tubebe hili Kombe, tuna muda mrefu hatujanyanyua hilo KombeVocha sisi hatutaki tunachotaka sisi ni nyie mkose kombe tu hamis aendelee kujificha huko huko vichakani🤣🤣
Acha record ya Ferguson ivunjwe tu ila nyie wakora kombe msibebe tu.
Wewe kinachookuuma ni sisi kutowafunga kono la nyani. Hizo ndoto za hata kubahatisha kumpiga City sijui unazipatia wapi.Mkuu ukishaamua kushabikia Arsenyani automatically unakua na mentality za kinyaninyani, wapi mimi nimesema mtafute pa kujificha kisa hamjatupiga kono la nyani?
Nimesema Arsenyodo mkimaliza msimu mikono mitupu halafu Utd tukibahatisha kuchukua kombe la FA mtafute sayari ya kwenda ujificha.
(elewa kwanza neno kubahatisha) maana kiuhalisia na hizi beki zetu za kina Kambwala hatuna uwezo wa kumfunga City
Hakika mkuu, siku hizi hautaji tu kuwa bora hili uweze kuchukua ligi, bali yakupasa uwe na ubora ambao hauna makosa kabisa... yaani kama unafanya mistakes basi hakikisha wapinzani wako nao wawe wamefanya mistakes ambazo zina impacts sawa na kwako.Ila kwa sasa guys ligi imebadilika saaana.
Mechi moja unayopoteza August inaweza ikakuhukumu may
Ni kama kocha na wachezaji wanatakiwa kuwa full perfect with no room for errors and correction
Ukitazama quality ya makocha walioko epl kwa sasa unauona ugumu wa kubeba ligi
ARSENAL ina timu Nzuri sana ila haina WACHEZAJI wengi wazuri sana. Castr ARSENAL ilimuhitaji Mudryk ila ikaishia Mpata TROSSARD, Hajawa chaguo Baya na amekuwa na Mchango Mkubwa ila kama ARTETA angempata MUDRYK Yule Bwana angekuwa anaimbwa.Kudus akija Arsenal tutamkataa.
Kudus anacheza timu ambayo inategemea sana long balls na kuzishambulia spaces za mpinzani.