Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal hii game tunaonekana kama tumechoka sana. Tunahitaji walau ushindi wa goli 3 tu. Vinginevyo kwa speed ya man city wanaweza kutushinda kila kitu.

Arsenal tuchukue tu huu ubingwa, haiwezekan tumfunge man city afu tuukose ubingwa.
 
sasa kama mmeshinda kipapatu papatu kwa man u iliyojiishia hii beki casemiro na evans zile nane mtaludisha lini.🤣🤣🤣

Je wajua Wenger orphans ndo timu pekee kubwa pale EPL aina record ya kumfunga man u goal kuanzia 4 toka EPL ianzishwe. tuonane msimu ujao.
 
Sikumbuki pia Arsenal huko kabla pamoja na ubovu aliowahi kuwa nao alishawahi kumaliza league akiwa na negative(-ve) goal difference. Kitu ambacho nakiona kwa Man utd kinaenda kutokea. Poor Man utd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…