Arsenal (The Gunners) | Special Thread

In case we lose 2moro and City win on Tuesday.
Tuesday match holds our fate
Umemsahau Pep ni shetani wa aina gani?
Sisi tunatakiwa u kujitahidi kushinda mechi zetu ili tujihakikishie kwamaba tumepiga hatua, kwamba msimu huu ni bora kuliko iliyopita. Ila ubingwa ni kitu kisichowezekana katika hali hii.
 
Umemsahau Pep ni shetani wa aina gani?
Sisi tunatakiwa u kujitahidi kushinda mechi zetu ili tujihakikishie kwamaba tumepiga hatua, kwamba msimu huu ni bora kuliko iliyopita. Ila ubingwa ni kitu kisichowezekana katika hali hii.
Spurs anaweza kufanya maajabu
 
Spurs anaweza kufanya maajabu
Tumuombee ila mimi simuamini kabisa.

Tuone leo tutachezaje na manyumbu.
Old trafford pamekuwa mwiba kweyu sana hata pale manyumbu wanapokuwa na wakati mgumu. Si ajabu kuona tumeshinda mara moja tu kati ya 16 pale. Kiushabiki nasema kabisa wale tutawapiga tena sana tu ila sijui huwa nini kinatokea kwetu pale uwanjani kwao.
 
Kwa kweli hawa wakichomoka, itakuwa ni kwa misaada ya kiroho nje ya uwanja zaidi ya uwezo wa uwanjani.
Nakupa tasmini ya dakika 90+

Hadi dakika ya 40 watakua washapigwa packet 1 (kambani tatu). Nyumbu watajifanya kuja juu hapo watapigwa mbili za chap na kufanya ubao usome 5

Watagundua kwamba hapa tutadhalilika Sasa, so wataanza kujiangusha angusha, kulalamika ovyo. in short Ni upotevu wa muda tu

Japo dakika zitakua zimepotezwa nyingi, lakini zitaongezwa dakika chini ya sita ili kuwanusuru hizi nyumbu
 
Wako kwao hawa wahuni. Kuna namna mambo yako hovyo kwetu pale kwao. Ndo maana nikasema watapita kwa nguvu za kiroho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…