Arsenal (The Gunners) | Special Thread

msije na matokeo mfukon
 

Attachments

  • IMG_20240510_163657_079.jpg
    107.5 KB · Views: 10
As of now we've lost 5 games with games left

Last season we lost 6

This tells you we haven't moved an inch into learning our mistakes
Nakubaliana na wewe hapa kwa namna ya mechi tulizopoteza. Ukitaka ubingwa wa ligi, hupaswi kufungwa zaidi ya mechi 3. Na pia hupaswi kutoka sare zaidi ya mechi 3 kwenye ligi yenye Man City ya Guardiola. Yule jamaa ni bonge la mmafia.

Ila kwenye kujifunza, sema tumejitahidi sana pia na kuna kihatua tumepiga. Pamoja na ujinga wa kutoshoot, tumeongeza idadi ya magoli ya kugunga. Kipa wetu kabeba golden glove. Wachezaji wetu wakiangalia msimu huu, watahuzunika kiasi kwa kupoteza ubingwa ila si kama msimu uliopita.

Arteta alianza na kumaliza wa 8 msimu miwili. Akaja kumaliza wa 5. Sasa anaweza kumaliza wa 2 misimu miwili mfululizo. Karika kumaliza wa 2, msimu mmoja aliachwa nyuma points 5, mwingine, huu, anaweza kuachwa kwa points 2.

Arteta ana mambo ya kijinga ila anajitahidi kujifunza na kuimarika mechi hadi mechi na msimu hadi msimu. Wachambuzi kadhaa wanasema hili suala la kujifunza (kwa haraka) ni moja kati ya silaha zake kubwa zinazomtenga yeye na makocha wengine.
 
Pia tumejitahidi kuwafunga washindani wetu wakiwemo Man City.
 
Shekhee Hamis amepotea wapi? Yeye ndo mchambuzi wa uhakika ila akifungwa anakimbia jukwaa....hana kifua. Kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…