Arsenal wameshaomba vibali vya kufanyia parade! Routes zimeshatangazwa , parade itakuwa siku ya jumatatu tarehe 20 siku moja baada ya kushinda ubingwa mechi ya mwisho💪💪💪
Kama nyie ni wanaume pigeni Manjestaa Bao nane ..kama mulizobamizwaga nyie mayatima wa Wenger .. arse8 arse8 arse8 arse8 hiki kipigo ni unforgettable 😂😂😂😂
Spurs sisi tulikuwa tumpige 3-0 kwake. Chelkenge wamempiga. Livakuku wamempiga. Sioni kama anafaa kuaminiwa. Akishaona hawezi kupata top 4, ataona bora apigwe ili Arsenal isibebe kombe.