Muangalie vizuri. Siku hizi anajiweka tu mbele ya kipa.Unakuwaga rational kwenye kujadili soka, Benwhite bado anaendelea kuwagonga makipa na imechafua hali ya hewa kabisà. Inafanya marefa wa EPL wadharaulike kabisa
BenNimemtukana nani?
Aje mwenyewe kulalamika
Afanye chochote tu. Kikiwa kinavunja sheria za soka itawekwa fauloMuangalie vizuri. Siku hizi anajiweka tu mbele ya kipa.
Hii mechi ndo tulibugi maxima, timu ilicheza kitoto sana.Kai atakuwa ana undugu na Arteta... Game ya Villa zile dakika 15 za mwisho Partey alikuwa anahitajika ujeuri wa Arteta utatukosesha kombe hivi hivi
Akina Saka, Ode walikuwa wanapiga vijishuti.Even yesterday against Bournemouth, it was possible, basi tu Mungu aliwapenda zaidi
Lijamaa linakera sana. Sema kwa kuwa lipo kwa timu yao basi wanaona sawa.Benwhite ni fala tu na ataishia kuisikia kombe la EPL kwenye reďio. Anaharibu raha ya soka huyo kichwa maji
Ishu sio Solanke kumsukuma Raya, hakukuwa na msukumo wa namna hiyo.Ben white alikuwa anafanya vurugu kwa kipa mwanzoni mwanzoni na faulo zilikuwa zinatolewa hivyo tukawa hatupati faida yeyote. Baada ya hapo siku hizi anajitahidi kwenda tu kusimama mbele ya kipa ili kipa asimpite bila kumsukuma na mara nyingi anakubali kusukumwa tu au ile sekunde ya mwisho, mpira ukiaribia box, yeye anaondoka kabisa na kumpisha kipa maana anajua hata akianguka kwa kusukumwa na kipa hatutapewa penati. Hata hivyo, mpaka hapo anakuwa ameshamchanganya kipa na linabaki tu suala la Saliba, Gabriel au Kai kupiga vichwa magoli yaingie.
Kwa Bournemouth, Solanke alimsukuma kidogo Raya wakati anaenda kupambania mpira. Hiyo hairuhusiwi. Ajabu ni kwamba Gabriel ama Saliba alikuwa anavutana na akamvuta Billing na kumuangusha kabla tu ya Solanke kumsukuma Raya. Sijui kwa nini VAR hawakuangalia hilo na kuwapa Bournemouth penati.
😂 Hayupo kwenye timu yako ndio maana!Lijamaa linakera sana. Sema kwa kuwa lipo kwa timu yao basi wanaona sawa.
Sheria msimu ujao inabidi zibadilishwe huyo Jamaa anachezea sana rafu makipa kwenye kona nadhani ndiyo maana Arsenal wanafunga magoli mengi ya kona.
Yeah ni aina ya wachezaji kama Richarlison,Vini Diego Costa unawachukia ukiwa team pinzani.😂 Hayupo kwenye timu yako ndio maana!
Huyu kijana aliyevaa Jersey no 20 akipita katikati yaoHawa wakora walianza kuwaza kwamba tutawafanyia hii kitu mwishon mwa msimu Wenger orphans mlikuwa na matumaini makubwa kuwa mpaka mnacheza na sisi man u mtakuwa mshanyanyua kwapa🤣🤣🤣
Muulizeni shoga yenu Liverpool alimaliza ligi kafungwa game 1 tu na point 97 na ubingwa akubeba.
Kilicho baki sisi vijana wa Bwenyenye Sir Jim ni kupigilia msumali wa mwisho siku ya Jumapili.
Mungu awezi ruhusu ili litokee kabisa sisi kuwapigia nyie makofi Mungu wetu sio mkatili ivyo.
View attachment 2981381
Game ya Spazi White alimshika kipa mpaka akamvua Gloves vipi sio foul?Ishu sio Solanke kumsukuma Raya, hakukuwa na msukumo wa namna hiyo.
Tatizo Solanke aliushika mkono wa kushoto wa Raya kabla hajafanya ile save, tena aliingiza mkono ndani kabisa. It's obvious ni foul. Nikipata video footage nitaileta hapa.
Sio kweli. Nikiingia kwenye PC nitakuletea video footage akiwagonga makipa kabisa na refa wala VAR hawasemi lolote na ushindi mwingi mmeshinda kwa njia hiyo na ndio maana mko juu kwenye magoli ya set-pieces
tulia wewe vijana wetu wa london wapo nanyi leoEti huyu ndio West ham mnategemea atamzuia City. Mnachekesha sana.