arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Wetu yule
Todd Boehly 😄😄ashukuriwe aliefanya tumkose Caicedo, Tukampata rice
Amekaa kaa benchi ndo maana anaanza kushuka kiwango. Avumilie hizi mechi mbili, preseason tutafanya kazi ya kumrudishia form yakeHuyu Martineli bechi litamhusu sana.
Mfate X(twitter)Hamisiiiiiiiiiiii njooooooooooo chambua mechi ya Man U
Anatumia id gan?Mfate X(twitter)
😅😅😅kazi ya rice ni nzuri sana nduguTodd Boehly 😄😄
Una ajenda ya Siri na Kai...leo amecheza a complete game....sijaona ufala mkubwa... fighting spirit yake ni kubwa sana...Havertz hawezi kuwa Jesus hata siku moja na Jesus hawezi kuwa Kai...hili mnabidi mlizoee tu ndugu zetu🤠🤠Nimetizama game kwa utulivu mpaka dk ya 80 hivi.
Mengi nimeyaona si mapya ni yale yale... Ubora wa partey hili jamaa, nasikitika tumechelewa kulipata na injuries zake.
ubora wa declan rice akiwa LCM
Shida za kai(nishazizoea na kukubaliana n uhalisia, ndio chaguo la mwalim)
Lakini kubwa kabisa ni huyu saka, ajiangalie saana, saka namuona ni mchezaji wa mfumo huyu, je akienda everton ataweza kushine hivi, je akienda pale man u atakuwa na nusu ya ubora wake hapa arsenal?
Kichekesho kuna muda mtaalam kai alikuja chini kuchukua mpira kwa tomiyasu akamfukuza na kumpasia mwingine.
Ikifika Ijumaa Anza kututishia tena na mikwara ya kufungwa na Manunu mkuu...Hawa Bournemouth tushazika tyriVARSENAL FC
Ni mbinu tu usiogope mkuu😀😀...ukiona wanakuja kama nyuki unapunguza mihemko kwanza kuwasubiri halafu unawaangushia kitu kizito....na pia sisi ndo tulikuwa na presha zaidi ya ushindi kuliko wale vijanqLeo tulikuwa kama tumechoka sana ila ni bora tumeshinda.