whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
sasa nani mnywa mbege kati anayeunganisha mambo ya jamal na bounemouthPunguza kunywa mbege
kuna uhusiano gani kati ya musiala na bounemouthPunguza kunywa mbege
Kadi hato pata mpaka akili kama arsenal ni bwana na mwokozi wakumzuia oilchester cheat115 asibebe kombeUnatakiwa tu kumuandalia kadi ya mualiko ya kusheherekea ubingwa wetu maana walau hyu kale katimu kake kalijitahidi kupishana na sisi tulivyokutana....
Nadhan kuuzwa kwa jesus ni lazima ili kubalance vitabu na Mambo ya Ffp.Jesus anaweza kuuzwa dirisha lijalo ikitokea ofa ya kueleweka
Kai bado yupo sana
Kiushabiki, sidhani kama mashabiki wa Totteham wanatamani hata sare tu, nahisi wanatamani hata wafe goli 6, ila sijui kuhusu wachezaji ambao ni proffesional players... matumaini pekee ni kwa Totteham sioni mtu wa kuthubutu hata kutoa sare na city hii, city akiwa analitaka jambo lake ni hatari sana.Jirani..mechi itakayoamua kama tuna nafasi ya ubingwa ni Tottenham vs City.. wale wadogo zetu wakikaza basi ndoo tunabeba...ila wakizingua ndo itakuwa basi🤠🤠
Bora auzwe, kuna game nilimuona yupo kinyonge mnoo, aliongea na arteta katika pozi la masikitiko makubwa mnooJesus anaweza kuuzwa dirisha lijalo ikitokea ofa ya kueleweka
Kai bado yupo sana
Ile injury imeharibu kila kituBora auzwe, kuna game nilimuona yupo kinyonge mnoo, aliongea na arteta katika pozi la masikitiko makubwa mnoo
Nimekufunga Emirates msimu huu unaongea nini mzeeUnatakiwa tu kumuandalia kadi ya mualiko ya kusheherekea ubingwa wetu maana walau hyu kale katimu kake kalijitahidi kupishana na sisi tulivyokutana....
Unadhan tutapata mchezaji mwenye profile kama yake kwa bei nafuu.Bora auzwe, kuna game nilimuona yupo kinyonge mnoo, aliongea na arteta katika pozi la masikitiko makubwa mnoo
Dejan Kulusevski atakamilisha hii kazi .Mnadanganyana sana humu yaani spurs amkazie City ili nyie kenge mchukue ubingw????🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekufunga Emirates msimu huu unaongea nini mzee
Hathaminiki sasa, tayari kuna muda unaona kabisa uso wake unakosa furaha haswa akitolewa.Unadhan tutapata mchezaji mwenye profile kama yake kwa bei nafuu.
Ingependeza awepo kuongeza upana wa kikosi.
Kabla ya hapo form yake ilikuwa nzuri sana, lakini naona hapewi tu nafasi ya kutosha.Ile injury imeharibu kila kitu
Ishu ni malipo, £250k kwa ajili ya depth ya kikosi ni parefuUnadhan tutapata mchezaji mwenye profile kama yake kwa bei nafuu.
Ingependeza awepo kuongeza upana wa kikosi.
USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI WASIO WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.Nyie matakataka muna timu mbovu sana sema hii ligi munaeza beba mambanga nyie
Uligongwa 5G mbuzimawe weweNyie matakataka muna timu mbovu sana sema hii ligi munaeza beba mambanga nyie
Jesus akiondoka ni maamuzi ya bodi zaidi kuliko ya ArtetaHathaminiki sasa, tayari kuna muda unaona kabisa uso wake unakosa furaha haswa akitolewa.
Ollashoga mama la mamaNyie matakataka muna timu mbovu sana sema hii ligi munaeza beba mambanga nyie