[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba anatamani sana kutia neno humu, kila akishika simu anaandika halafu anafuta, maana anajua kabisa kuna watu humu wamekaa attention wanamsubiria waruke nae[emoji16][emoji16][emoji16]Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu yenye haina kombe lolote la Ulaya tokea kuumbwa kwa ulimwengu nihamie ili iweje?Kweli hutupendi namna hii Mkuu [emoji28]
Ama kama hivi hamia tu Gunners, bado tuna nafasi kwaajili yenu [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashabiki wa Livapuli huko wanalalamikiana wenyewe kwa wenyewe kua tokea walivyocheza na Utd ndio wamepoteana moja kwa moja kwenye mbio za ubingwa.Kuna points zetu 3 pale Old Trafford tunakuja kuzichukua. Hizo points 3 ni mali yetu na haki yetu, hivyo basi, lazima tusepe nazo.
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashabiki wa Livapuli huko wanalalamikiana wenyewe kwa wenyewe kua tokea walivyocheza na Utd ndio wamepoteana moja kwa moja kwenye mbio za ubingwa.
Nyie endeleeni tu kutamania anguko lenu, ila msije kusema kua hatukuwaambia mapema shauri yenu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mpaka tucheze na nyie tutakuwa tumeshatangazwa kuwa mabingwa. Hizo points 3 tunakuja kuzichukua yaani ile basi tu, si kwamba tutakuwa tunazihitaji 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashabiki wa Livapuli huko wanalalamikiana wenyewe kwa wenyewe kua tokea walivyocheza na Utd ndio wamepoteana moja kwa moja kwenye mbio za ubingwa.
Nyie endeleeni tu kutamania anguko lenu, ila msije kusema kua hatukuwaambia mapema shauri yenu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa tuchezajee mwanetu Fuentte, hatuwaelewi baddoooArsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
ngoja tuje hapo kwenu tuwapige 3+ tuwakate ngebe muache kuchongaArsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
We jamaa wewe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiohio mbinu akitumia Man Utd na akaondoka na points3 mnamnanga humu na kumsema na mpira wa papatu papatu, ila mkibananishwa na nyinyi mnasema ni mbinu[emoji16][emoji16][emoji16]
Kiukweli kabisa kuna kipindi kwa vyovyote vile timu inahitaji matokeo tu, na hiki mlichofanya jana kinaonesha jinsi gani mmeanza kua na mentality za kupambania ubingwa, haya mambo ya kulazimisha kumiliki mpira na kucheza mpira mzuri halafu points3 anachukua mtu mwingine yalikua yanawapotezea muda sana.
Kuna kipindi inakulazimu hata upaki basi ilimradi uondoke na points3, binafsi sijafurahishwa kabisa jinsi Arteta alivyoishtukia hii mbinu maana kuna uwezekano ikamletea mafanikio makubwa sana kitu ambacho sisi hatukifurahii.
Tunapenda kuona kila mechi Arsenyo inacheza mpira mzuri, inafanya pressing na overloading, inaongoza kwa possessions halafu inaishia kupata point1 au kupoteza kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
dah! aloo.hayo maneno yako yanakera sanaDah
Mwamba unatusagia kunguni kinoma.Ila ndo hivyo ni kama maji kutuama kwenye sakafu ya zege halafu utegemee utelezi
Dadeki man U
Utapigwa ukiwa kamili na utapigwa ukiwa nusu
Utapigwa emirates na utapigwa OT
Utapigwa na jezi ya ugenini na utapigwa na jezi ya nyumbani
Utapigwa casemiro akiwa DM na utapigwa casemiro akiwa CB
Utapigwa kocha carrick na utapigwa kocha TEN HAG
yaani nyie kwetu tunawachukulia kama mama muuza bajia tu,tukiwa na hela tunakula na tukiwa hatuna hela bado tunakula😂😂😂😂
Hahaaa man u bwana,mashabik wako sirias kuliko wachezaji na mmiliki wa timu
Cry moreArsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
Ukiona wakongwe humu wameanza kujitokeza kama hivi ujue ni dalili nzuri ya kubeba EPL.Cry more
Punda kama pundaNaangalia ratiba yenu hapa kwakweli mnatia huruma mnacheza na Bournemouth. Mjiandae kisaikolojia
🤣🤣🤣...nimeshakustukia...ww inaonekana unatamani sana tuchukue ndoo...na nakuahidi mkuu...tutaenda kutangazia ubingwa Old Trafford....hifadhi hii PostNaangalia ratiba yenu hapa kwakweli mnatia huruma mnacheza na Bournemouth. Mjiandae kisaikolojia
ukiwa na jicho la kiroho,ni kwamba wengi sana wanatamani wawe huku kwa washika mitutu🤣🤣🤣...nimeshakustukia...ww inaonekana unatamani sana tuchukue ndoo...na nakuahidi mkuu...tutaenda kutangazia ubingwa Old Trafford....hifadhi hii Post