[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi false hopes ndio zinafanyaga kuna watu wanajitundika baada ya ligi.Arsenal bingwa msimu huu
Katika mechi tano zilizobaki Man City lazima atoe sare hata moja
Every player got his good and bad dayraya kujiamini kumezidi.. anajua akifanya makosa.. arteta bado atampanga tu next games.
dhidi ya porto away..
dhidi ya bayern at home.
na leo na spurs.
Michael Oliver zamani alikuwa mkuda kwenye mechi zetu lakini hivi karibuni yupo friendly mpaka huwa nashangaa.. Lakini mechi ya leo hakuna uendeleo wowote aliofanya.micheal oliver kawabetia Arsenal yule alikua anaokoa mkeka weka penati yenyewe katoa kwa aibu kweli
Atake asitake atadondosha tu🤠🤠🤠...kesho tupo na wanetu Nottingham[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi false hopes ndio zinafanyaga kuna watu wanajitundika baada ya ligi.
Unakumbuka msimu wowote Kipara alidraw kwenye mechi zake tano za mwisho?
Labda city adraw mbele ya forest leo bila hivo keep on dreamingSifa za Man City mnaanza kutupa sisi[emoji1783][emoji1783]...hii Ngoma tunabeba mwaka huu....dalili zipo waziwazi kabisa
mnaanza
forest yupo uwanjan leo sio keshoAtake asitake atadondosha tu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...kesho tupo na wanetu Nottingham
Fanya kweli mwananguKuanzia Leo naanza kuchoma ubani game za city
Mkae kwa kutulia, hii show ya city naimaliza Mimi
Atake asitake atadondosha tu🤠🤠🤠...kesho tupo na wanetu Nottingham
Gabby katoka majeruhi. Hata fittnes yake siyo ile aliyokuwa nayo kabla. Kwa sasa hivi Kai ni best performer over Gabby.
Bado hawajacheza na Spurs au ndo mlikua mnawahesabia watuzuie sisi tu?😃Labda city adraw mbele ya forest leo bila hivo keep on dreaming
brother
Hayo mtajua nyie!Washakula chuma Forest
[emoji1787] sasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweliBado hawajacheza na Spurs au ndo mlikua mnawahesabia watuzuie sisi tu?[emoji2]
Najua shauku yako ni sisi kukosa ubingwa, so stop pretending!
Kwani kujiamini kuna shida?raya kujiamini kumezidi.. anajua akifanya makosa.. arteta bado atampanga tu next games.
dhidi ya porto away..
dhidi ya bayern at home.
na leo na spurs.
nakusupport apa.. kai ata kukaa na mpira mguuni sekunde tano uongo. ila jesus anaeza na anatoa very good assists.. mfano mzuri goli la trosard vs wolves