Kai na arteta sijui wana ushemeji.
Timu inahitaji striker, ambae atashuka kuchukua mipira na kusogea nayo juu, striker ambae anasumbua mabeki akiwa na mpira, stiker sharp
Naandika haya, bwana kai kapiga pasi ya goli
Goli linachekiwa.....
Ni chumaaàaaa,
Chuma ya pili.
Ama kweli hakuna ng'ombe asiefaa, kai kasaidia chuma ya pili. Ila bado tunahitaji JESUS