naona hata ile ID fake ya gwiji la Highbury imepoteaπ€£π€£π€£nitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa kucheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale WembleyView attachment 2971758
Top of the leagueIla mashabiki wa arsenal hawajakaa kiuanamichezo kabisa, wenzao United ya 7Hag wameingia FAINALI ila hata kutuma salamu za pongeza wamejikausha kimya. Nadhani hii ndio sababu kuu kwanini hamis77 hataki kujitokeza kabisa kwenye jukwaa lolote la michezo, alimnanga sana kipara wetu.
Ule uchezaji wetu usiwababaishe mkajua sie wabovu, kila mtu anacheza anavyojua ilimradi ushindi unapatikana tu.
We are going to Wembley, where will you be?
naona hata ile ID fake ya gwiji la Highbury imepotea
Usimsumbue Hamisi kwa sasa yuko katika harakati za kuchukua jiko. Ukosefu wake hauna uhusiaono wowote na matokeo yetu ya hivi karibuninitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe
Kikubwa nilichogundua hili jukwaa bila ya uwepo wa ndugu yangu masingeli hua linapoteza kabisa mvuto.
Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi tuko chini ya miguu yako tunakuomba urudi utupe mchanganuo wa jinsi timu yetu ya Arsenyo itakavyo cheza fainali ya Uefa kwenye uwanja wetu wa nyumbani pale WembleyView attachment 2971758
Nimesema tu kwa sasa timu zetu zote ni nzuri, kuanzia watoto hadi akina dada na first team. Bado makombe tu.Mmeona tu sasa mshangilie akina Mama
Ba badoNimesema tu kwa sasa timu zetu zote ni nzuri, kuanzia watoto hadi akina dada na first team. Bado makombe tu.
Hata ww ni mpiga ramli pia....hmu wte ni wapiga ramli....tunataka timu yetu ipate matokeo ila nyie mabalala yawakuteπ€ π€ π€ ...na yatawakuta...kesho Jota anarudi wodini tena maana ile ndo hirizi yenuSawa ndugu mjumbe mwenyekiti wa ramliπππ
Baada ya kushindwa kubeba kombe ,mmeanza kuokoteza
Tuache kumpongeza kipara Guardiola ambaye anaenda kubeba Hilo kombe tuwapongeze nyny kwli??π€ π€ ...unatuona wte hmu mafala sio....Walter White anaenda kuwavalisha medali ya mshindi WA pili tena....Sasa tukupongezeni kwa Hilo kwli??Ila mashabiki wa arsenal hawajakaa kiuanamichezo kabisa, wenzao United ya 7Hag wameingia FAINALI ila hata kutuma salamu za pongeza wamejikausha kimya. Nadhani hii ndio sababu kuu kwanini hamis77 hataki kujitokeza kabisa kwenye jukwaa lolote la michezo, alimnanga sana kipara wetu.
Ule uchezaji wetu usiwababaishe mkajua sie wabovu, kila mtu anacheza anavyojua ilimradi ushindi unapatikana tu.
We are going to Wembley, where will you be?
Tuache kumpongeza kipara Guardiola ambaye anaenda kubeba Hilo kombe tuwapongeze nyny kwli??...unatuona wte hmu mafala sio....Walter White anaenda kuwavalisha medali ya mshindi WA pili tena....Sasa tukupongezeni kwa Hilo kwli??
Siyo hivyo bro. Ni kwamba tu dunia nzima (siyo arsenal fans pekee) bado inashangaa mmeingiaje ingiaje fainaliIla mashabiki wa arsenal hawajakaa kiuanamichezo kabisa, wenzao United ya 7Hag wameingia FAINALI ila hata kutuma salamu za pongeza wamejikausha kimya. Nadhani hii ndio sababu kuu kwanini hamis77 hataki kujitokeza kabisa kwenye jukwaa lolote la michezo, alimnanga sana kipara wetu.
Ule uchezaji wetu usiwababaishe mkajua sie wabovu, kila mtu anacheza anavyojua ilimradi ushindi unapatikana tu.
We are going to Wembley, where will you be?
kwahiyo ndo mnajidanganya nyie mnafanana na sisi?Ila mashabiki wa arsenal hawajakaa kiuanamichezo kabisa, wenzao United ya 7Hag wameingia FAINALI ila hata kutuma salamu za pongeza wamejikausha kimya. Nadhani hii ndio sababu kuu kwanini hamis77 hataki kujitokeza kabisa kwenye jukwaa lolote la michezo, alimnanga sana kipara wetu.
Ule uchezaji wetu usiwababaishe mkajua sie wabovu, kila mtu anacheza anavyojua ilimradi ushindi unapatikana tu.
We are going to Wembley, where will you be?
Siyo hivyo bro. Ni kwamba tu dunia nzima (siyo arsenal fans pekee) bado inashangaa mmeingiaje ingiaje fainali
Kwa ule mpira na wale madogo siku ile mnataka mpongezwe nn wkti tunajua fedheha mtakayoenda kuipata huko mwshoniMasingeli products acheni roho za kwanini, yaani kutupongeza tu kwa kuingia fainali nyie mtapungukiwa nini?
Halafu kwani nyie mara ya mwisho kucheza fainali ilikua ni mwaka gani?
ππππ haya makombe mnayosubiri mnasubiri wapi!, Yaani toka kipindi cha wenger mnatengeneza team, hapo katikati tumeshuhudia mpaka Leicester kabeba kombe .Nimesema tu kwa sasa timu zetu zote ni nzuri, kuanzia watoto hadi akina dada na first team. Bado makombe tu.
Ahah hizi ndio comment tunazo zi saveKenge tutakuja kupiga tuue.
Hakuna Kenge anaetamani kesho ifike mapema
Japo mi ni arsenal, ila huyo masingeli, sijui ma singledi apite kushotonitakuja kuwafiriji tu humu na kuwasisitiza msikate tamaa na phase 5 inayofata ambayo ndio phase ya makombe