yani mko mnajivunia sahani la ubwabwa ( community shield )Carling cup??[emoji1783][emoji1783]...hzi final za FA cup tunajuq mnaenda kukamilisha ratiba tu...hamna jipya....mnapigwa comeback na timu ya daraja la 10 halafu unqkuja kutujazia nzi hmu
Hyo final unabeba kombe🤠🤠??..au mnaenda kuzurura tu sheheyani mko mnajivunia sahani la ubwabwa ( community shield )
Wakati wenzio wana progress into the finals twice
The Community Shield is contested by the champions of the Premier League and the winners of the FA Cup.
In the event that the Premier League champions also win the FA Cup, the other place in the Community Shield goes to the league runner-up, rather than the cup's losing finallists.
Natunza hii risiti kwa sababu EPL mlobeba thanks to corona mtaisikia bombani mpk unafikisha miaka 70 tena ndo uje kubeba....UEFA kwli mnabeba sana ndugu zetu...ni kwli Madrid tungekutana naye angweweza kutudunda kama alivyowafumua nyny Tano pale kwenu Anfield na ndo ikawa mwsho wa kucheza UEFA🤠🤠🤠....halafu siku hzi mkitolewa ni mnatolewa kwa kufumuliwa kwlikwli...5 mara 3...yaani ni kipigo hasaTangu mwaka 2019,ukitoa Hilo biriyani,una kombe gani la maana?
Wenzio tuna UEFA ambayo wewe umetolewa nje na timu uliyokuwa unaiita mbovu😂
Na ushukuru,ungekutana na real Madrid angekufanyia mauaji ya kimbarii
Nasema uongo ndugu wajumbe?🤣🤣🤣🤣
Sisi tuna EPL ambayo wewe tangu 2004 last born wangu amezaliwa,na sasa kqgraduate chuo, arse8 hajagusa 🤣.
Tuna FA msimu juzi ambayo kwako ni historia.
Tuna Carabao msimu juzi na msimu leo ya moto motooo,unayooita kikombe cha chai ila bado kahawa yenyewe imekupiga chini hujainywa😆.
Hadi sasa timu ipo mikono mitupu haina kombe lolote na haeleweki hatma yake .. aluta continua tunaendelea tulipoishia Makombeless FC 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ramsdale ameona isiwe noma
Mshkaji kaamua kupiga fanta orange kisabato,no way maana asipokaa sawa hata fanta orange itampita babeki😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Yaani hata Hilo kombe la Corona nyie hamna[emoji38]Natunza hii risiti kwa sababu EPL mlobeba thanks to corona mtaisikia bombani mpk unafikisha miaka 70 tena ndo uje kubeba....UEFA kwli mnabeba sana ndugu zetu...ni kwli Madrid tungekutana naye angweweza kutudunda kama alivyowafumua nyny Tano pale kwenu Anfield na ndo ikawa mwsho wa kucheza UEFA[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....halafu siku hzi mkitolewa ni mnatolewa kwa kufumuliwa kwlikwli...5 mara 3...yaani ni kipigo hasa
🤣🤣🤣🤣 eti enheee.!Basi, jiandae kwa meseji na simu za sorry sorry kwa wingi kutoka kwa dear X
Sisi tuna la dhahabu...kwmba tulibeba bila kufungwa🤠🤠..vp nyinyi mna la aina ganiYaani hata Hilo kombe la Corona nyie hamna[emoji38]
Wachezaji wetu walikuwa wanacheza sayari nyingine?
Ama walicheza pekeyao uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8[emoji23][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hana tofauti yoyote na wanasiasa wetu wa bongo wakiwa kwenye kampeni za uchaguzi.Ifike wakati hamis77 atafutwe uko kitaa harudishwe hapa hata kwa viboko jamaa ni muoga sana lakini ndo kiongozi wa kupiga mdomo hapa.
hamis77 come out utueleze Bayern uliesema kibonde ni ipi jamaa ifike wakati aanze kuwajibishwa.View attachment 2970843
Hawa jamaa jau sana. Wananikumbusha enzi zile za shule. Unafeli masomo, ila unaona freshi tuu kisa mshkaji wako naye kazingua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kuna mtu aliwahi sema hii kauli ila sikumwelewa kwa kipindi kile,ila sasa namwelewa vizuri tu
"Don't project youself in me"naona mashabik wa man u,kenges,liver7 mnatiririka sana hapa.makasiriko ya kufeli kwenu msipoozee machungu kwetu
Hakukosea. Tulizingua tu ila uwezo wa kushinda tulikuwa nao, tofauti na zamani ambapo uwezo wa kuwapiga wale jamaa hatukuwa nao (na tuliwapiga pamoja na udhaifu wetu). Usione kama mshabiki akiona timu yake ina ubora kuliko ya mpinzani kuwa anakosea. Hata Porto tulijua tumewazidi na tulijua tutawafunga lakini haiukutoke. Kwenye ligi ndiyo kabisaaaa, tumefungwa na Wet Ham, Fulham, Aston Villa na tulitoka sare na Chelsea. Hawa wote tulijiamini kabisa, na tulikuwa na sababu za kujiamini, kuwa tutawapiga lakini mambo hayakwenda hivyo,''UEFA tunayemuogopa labda Madrid kwa mbali, huyu Bayern tutapiga nje na ndani'' huyu jamaa anawaona mashabiki wa arsenal kama watoto wake.
Kuna mashabiki wa arsenal wakiwa wanaiongelea arsenal hadi unahisi hawa watu kuna majani wanakula au.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena anamalizia kwa kusema haya maneno huku akijiamini kabisa:''UEFA tunayemuogopa labda Madrid kwa mbali, huyu Bayern tutapiga nje na ndani'' huyu jamaa anawaona mashabiki wa arsenal kama watoto wake.
Kuna mashabiki wa arsenal wakiwa wanaiongelea arsenal hadi unahisi hawa watu kuna majani wanakula au.
Timu yetu bado sio ya kuwekea matumaini makubwa bado kuna vijana wengi wasio na expirience kubwa.Hakukosea. Tulizingua tu ila uwezo wa kushinda tulikuwa nao, tofauti na zamani ambapo uwezo wa kuwapiga wale jamaa hatukuwa nao (na tuliwapiga pamoja na udhaifu wetu). Usione kama mshabiki akiona timu yake ina ubora kuliko ya mpinzani kuwa anakosea. Hata Porto tulijua tumewazidi na tulijua tutawafunga lakini haiukutoke. Kwenye ligi ndiyo kabisaaaa, tumefungwa na Wet Ham, Fulham, Aston Villa na tulitoka sare na Chelsea. Hawa wote tulijiamini kabisa, na tulikuwa na sababu za kujiamini, kuwa tutawapiga lakini mambo hayakwenda hivyo,
Uko sahihi.Timu yetu bado sio ya kuwekea matumaini makubwa bado kuna vijana wengi wasio na expirience kubwa.