Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni rahisi ukaomba kazi utumishi ukapata kuliko City kupoteza nafasi akishakuacha points.

Tuendelee kucheza kwa reference siyo kwa ajili ya ubingwa.

Tuchel alighairi kombe la bundes liga ikiwa imebaki michezo 8.
 
Motivational speaker mzee wa kuwapigia hesabu za Ubilionea wa kilimo cha Matikiti Maji bado hajafika?
Ndugu yangu Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi Arsenyo jana tumeshinda na tunaongoza ligi, hebu kuja pande hizi utupigie hesabu za Matikiti Maji utuonyeshe jinsi Arsenyau tunavyobeba Epl kwenye hizi mechi 5 zilizobaki



 
Atakayetoka salama hapo kweli aitwe mwamba. Kila mmoja hapo atapigwa.
 
Atakayetoka salama hapo kweli aitwe mwamba. Kila mmoja hapo atapigwa.
Umekuwa mgeni na asenali tena?😂😂😂....

Endelea kuamini ikuaminishe maumivu😂😂😂😂

Hii n timu ya kufurahia matukio mengi yasihusisha kubeba ndoo😂

Yaan suala la kombe piga chini aiseee labda itokee tu kama muujiza au siti ipokonywe kombe na fifa😂😂😂...

Enewei n maamuz yako ila kwa ratiba ilivyo asenali ukiamini itakushangaza na utabaki unasonya tu😂😂😂😂
 
Kuna wachezaji ni kama wameshuka viwango kwa sasa. Sijui ndo uchovu wa ligi ndefu ama vipi?
Trossard, Martinelli, Jesus, Saka na Saliba. Binafsi hawa naona kama pumzi imekata wamekuwa sio wa moto vile tumewazoea.

Wasipobadilika, tutateseka sana na ushindi.
 
Saka na Saliba hawana back up za kueleweka
Hata Rice kachoka
 
Ligi ya uingereza ina kaufala fulani hivi....Aston Villa wiki ilopita katukamia....leo mpk saahii tyri watu washamuweka...
 
Nyie KENGE! Tunawakumbusha tu leo tuko WEMBLEY.
 
Wewe nyumbu unacheza na timu daraja la saba unaongoza tatu zinarudi .. Jitafakari wewe na tenhug kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…