Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mambo ya kurudi juu kileleni ndiyo haya sasa
Mimi nawaombea mechi yenu ya leo mshinde ili mrudi humu kwenye kijiwe chenu cha kahawa, jukwaa limepoa kama mzinzi aliekaa kwenye benchi la hospitali anasubiria majibu yake ya Ukimwi.
Ila mtaani sasa hivi tunaishi kwa amani sana
 
Chelsea anamtoa City FA inakuwa rahisi kwa Man utd kulibeba kombe
 
kuna mdau alisemaga Simba na Arsenal matokeo hufanana fanana. Sasa sijui leo itakuwaje?
 
Yani kipigo cha wiki moja tu mmepoteana jukwaa zima kweli Wenger orphans mmeisha kama chupi za mtumba🤣🤣🤣bure kabisa.

leo hata mshinde mtakuwa amna furaha na ushindi wenu.
 
Mtu anakuambia mwaka huu ni lazima tuchukue UEFA ukimuuliza nitajie wachezaji wako wakukusaidia kulibeba anakutajia
Ben white Odegard Kai Havetz

BEN WHITEE ODERGAD KAI HAVERZ REALLY....??? MBELE YA WAKINA MODRIC KDB CARVAJAL WALKER KIMMCHI

Kama sio uteja huu au uwendawazimu ni kitu gani

Poor Arsenal
 
Cite itabeba uefa kaka, mbona uzi wenu mnamuachia pain kila wengine mnajaa humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…