Vipi pale Anfield na Atalanta? Twende UEFA tuwaombe tubadilishane? Mimi nikupe Bayern na wewe unipe Atalanta tupambane nao? Wewe ukimpiga Bayern utoke Europa uje uchukue nafasi yangu nusu fainali ya UCL. Mimi nikifungwa na Atalanta nirudi zangu London...Kuna waimba singeli humu walisema eti wanamtaka yeyote
Tukawaambia ombeni basi hata Barcelona,wanasema Bayern mwepesi ππππ
baada ya wao kupigwa na atalanta wamepungua umu, Aseee arsenal tumepga hatua mpka kufikia hatua ya watu kutucheka kutoa sare na man cty na bayernVipi pale Anfield na Atalanta? Twende UEFA tuwaombe tubadilishane? Mimi nikupe Bayern na wewe unipe Atalanta tupambane nao? Wewe ukimpiga Bayern utoke Europa uje uchukue nafasi yangu nusu fainali ya UCL. Mimi nikifungwa na Atalanta nirudi zangu London...
baada ya wao kupigwa na atalanta wamepungua umu, Aseee arsenal tumepga hatua mpka kufikia hatua ya watu kutucheka kutoa sare na man cty na bayern
Wameachiwa wachezee mpira lakini kwenye ufungaji mijusi milia wamejimilikisha waoWanetu kabisa since day one sijui nini kimewakumba
View attachment 2962414
Kuna mjusi mmoja utaibuka shimoni leoWameachiwa wachezee mpira lakini kwenye ufungaji mijusi milia wamejimilikisha wao
ππ huyo hawezi kuonekana. Atasuburi kwanza aone kama Aston Villa atatupiga au laKuna mjusi mmoja utaibuka shimoni leo
Hatari sana hiiπCity ametufikia kwenye magoli ya kufunga
Hao jamaa watafufukia kwetu ilimradi kutukwamisha kuchukua ubingwaWanetu kabisa since day one sijui nini kimewakumba
View attachment 2962414
GD is what mattersCity ametufikia kwenye magoli ya kufunga
I understand, we need more clean sheets and ore goalsGD is what matters
For the past two seasons tumekua tunatajiana madogo wa moto ila hakuna aliyemature mpaka leo.Huyu dogo wa motoView attachment 2963119
Of course ni jambo jipya...Ili wachezaji wawe wanaliona goli vzuriπ€Utaratibu wa kufanya mazoezi Emirates siku moja kabla ya game uko mwanzo haukuepo au mimi ndo nimechelewa kuufahamu mapema?
HahaahahahOf course ni jambo jipya...Ili wachezaji wawe wanaliona goli vzuri[emoji1783]