Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wandugu hiyo haikuwa penalti. Bukayo Saka ndiye alipaswa kupata kadi ya njano kwa kumpiga teke Manuel Neuer mguuni. Sio haki kabisa, refa kaamua kuwabeba Arsenal.
 
Alichokifanya saka anadhihirisha kuwa yeye bado anaumachachari tu na sio mahiri,afikishiwe ujumbe kuwa yuefa sio ligi kuu ya kujisahau sahau,ila hizi mechi mbili ya madrid na bayern bado mbichi.
Kwasasa wenye nafasi ya kuendelea mbele kulingana na rekodi n bayern na siti tu,madrid na asenali labda miujiza itokee
 
Haya hamkusema kabla ya game
 
Awa ndo wale bayern tuliambiwa kuwa ni wabovu msimu uu au tuwasubiri wengine mana bayern wako wengi uko ujerumani wanatuchanganya
 
ngoja Masingeli akusikie unamnanga Kai, atakuja na furushi la takwimu za aerial duel huku akipata support ya kutosha kutoka kwa chawa zake hizi 2 mkorea na arsenal2004 lazima wakupe cheo cha mamluki.
 
Tuliwaambia Bayern sio Luton

Bayern sio Burnley

Mkatuona tunawaonea wivu

Leo uwanja mzima kulikuwa na mashabiki wa kondoo tuu na bado mmetoa sare, ambayo kimahesabu ni mmefungwa nyumbani.

Pale Allianz arena, mtafungwa hata kwa makelele wajalana nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…